letra de friday the 13th - sauceboiz
(chorus: linkyonwaves)
hizi pesa hunitoka zina cheza hide and seek
paycheck yangu ina nona juu lazima tuna seek
paycheck yangu ina nona sisoteshwi na ma b-tch
paycheck yangu ina nona kuomoka kila week
(verse 1: papizzing)
put your hands up, uki taka unaweza freeze
juu friday the thirteenth kuwa scare mna tii
tuna scare industry, rappers hamuwezi mka beat
scary kwenye game, vibe yangu huwezi k!ll
tuna saka hizi pesos, but kuomoka joh ni risk
(verse 2: eka 12)
look at us hatuja fika not yet but at least
very soon on top, tuta top hizo list
na mafala wana bonga kuna siku wata tii
siku study law but kila siku low-key
no friend zone siwezi chochwa
deep down anajua nili choka
(deep down anajua nili choka)
(chorus: linkyonwaves)
hizi pesa hunitoka zina cheza hide and seek
paycheck yangu ina nona juu lazima tuna seek
paycheck yangu ina nona sisoteshwi na ma b-tch
paycheck yangu ina nona kuomoka kila week
(verse 3: linkyonwaves)
baby me si lover, you can call me ghost
d-ck ime tosha na siringi me si boast
thirteen kwenye mix me nabonga juu ya b-tch
pesa ka ni mingi usi jaribu ku snitch
juu kama friday thirteenth hiyo shingo tuna slit
big up papi, eka kuna jesse kwenye team
my dream ilikuwa small saa hii tuko big
saa hii tuko big
letras aleatórias
- letra de rotina - danieze santiago
- letra de не понимаю (do not understand) - lamer
- letra de kane (feat. hira) - iammoney & busyness mane
- letra de marshal mcclain - balsam range
- letra de comeback - sexmane
- letra de sleeping (tiefschwars wake up mix) - rick astley
- letra de tears on the dance floor - icona pop
- letra de выбирай - semivrazhov
- letra de over the moon, once in a blue moon (interlude) - ynkeumalice
- letra de riddance - superp0s