
letra de fungua - sara nyongole
iliyopondeka
itetemekayo
iliyofunguka
watoto wako bwana
tuko mbele zako tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
watoto wako bwana
tumekusanyika tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
fungua
mioyo yetu bwana iponye
fungua
mioyo yetu bwana ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
fungua
mioyo yetu bwana ipone
yesu fungua
mioyo yetu bwana ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
iliyopondeka
itetemekayo
letras aleatórias
- letra de show out - add-2
- letra de vamo' en la salud - bersuit vergarabat
- letra de love repays me - ieknows
- letra de our lips are sealed (re-recorded) [remastered] - jane wiedlin,the specials
- letra de superstar - marius müller-westernhagen
- letra de stakkandi/staflandi - herra hnetusmjör
- letra de kopf durch die wand - mc bogy
- letra de vs. richnezz - [vorrunde 2 - vbt 2012] - dupash
- letra de j. cole - born sinner (track-by-track review) - brian gonser
- letra de slowly rust - daveit ferris