letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de baraka zako - samuel mweze

Loading...

baraka zako zani fwata
uwepo wako wani zunguka
gongo na fimbo vya ni fariji hauwezi nii acha

baraka zako zani fwata
uwepo wako wani zunguka
gongo na fimbo vya ni fariji hauwezi nii acha

eee baba upendo wako ni wa ukweli
katika mateso na raha uni achi ,hauwezi ni acha
ee baba aaa upendo wako ni wa ukweli
katika malisho ya majani mabichi uni laza uni ongoza

baraka zako zani fwata
uwepo wako wani zunguka
gongo na fimbo vya ni fariji hauwezi nii acha

huuuuuu,huuuu,hauwezi ni acha
huuuuuu,huuuu,hauwezi ni acha

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...