letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bang - salminswaggz & da voice

Loading...

[intro.]fabo black
na bang/sina mikosi
na bang/limenona pochi
na bang/yani ni og

vers 1:fabo black

level tear nimevuka
dey coi me supa dupa
snitch uwezi kunigusa
marashi ya pesa me nanuka

shida tear kavuta
mipango ina anza fuf-ka
kama tear mivesho
cha arusha ki2oni nawasha

check nilivyo bitoz yea!
nafuta vumbi kama rocka
j-po sina hata benz yea
na warembo me nadaka

mirango yangu inafunguka kila sunday ni sadaka
26nasebenza kokote na bang nasaka
bounce yan kiboss bro yea
sitaki kuhanya you know so vile nakaza mpaka nifike sitak kubang ki4

chorus:da voice

ama star
my time’s ready ndomana kira pande nina ng’aa
nina ng’aa
n-z-di kupaa
napanda grade ni mwendo wa bata nasahau njaa
oohh na na!
acheni ni bang x2
nimezipata kwa jasho
acheni ni bang x2
nimepitia hustle

vers 2:salminswaggz

okay, they say
tunajua ni game na we don’t play
i be running back na beyoncé
j-po tunafahamu vingi, but we don’t say
level zimepanda bei, yah
mi nasaka everyday, yah
chafu tatu sikosei yah
b-tches got off my way, yah

so acheni nibang na machizi
nakula jasho man it’s never been easy
leo ni perfume nanukia sio masizi
majuk-mu yatakuja nikisizi

sit down, n-gga be humble
mi nabang wanaona vitambo
kama fame niliivuta kitambo
kwenye mkwanja we nifanye mi chambo

maana vitu ni vingi kwa listi
wengi wanadhani rahisi
middle finger bila peace
leo tunapiga miswaki na whiskey

chorus:da voice

ama star
my time’s ready ndomana kira pande nina ng’aa
nina ng’aa
n-z-di kupaa
napanda grade ni mwendo wa bata nasahau njaa
oohh na na!
acheni ni bang x2
nimezipata kwa jasho
acheni ni bang x2
nimepitia hustle

vers 3:panda

vile nabang now
vile nabang
huwezi kufanya kama me
zile bill za kupay now
hawaongei

basi acheni ni bang na
mademu wamejaa kila sehemu na
wengi wanasay my name
eti panda kapata money

nilikua savage
ila sasa namiliki flow, [tuh tuh tuh]
pilika ndo movement ila lengo kupata tu dough

nikarafuta wakacheka
ila sasa me napeta
bang bang bang
na nikibang sikosei

acha nibang na wana
asubuhi usiku mchana

acha nibang na wana
asubuhi usiku mchana

bang bang

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...