letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mauzauza - salmin swaggz

Loading...

hol’ up, paul maker
she was like
excuse me baby boo ntapenda kukuinterview
nakuona uko na lunya, con boi matawi ya juu
ila nataka wewe tuu, maana
kama siamini amini, leo umekutana na mimi
nikwambie nini, tujuane lakini
usinitreat kama mshkaji wako
wasanii nyie mna tamaa tuishie hapo
nabend kidogo navuta business card
i’m looking at her booty, man, she’s so bad
so ni kama movie
nikajiona pele leo mchizi nachana nyuzi

uuuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
najionea mauzauza uza uuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
najionea mauzauza uza uuh mummy eeh

yeah, mtoto kaniwakia, wana wananiangalia
ngoma zinaenda pia, simu ananiita dear
kwa kila party we up, together with my geez
hana ubiatch, you know what it is
waza nawaza nawaza waza
mtoto presenter ntakaza kaza
naweka maswali najaza jaza
maana ni hatari naangaza angaza
namwambia, mambo naonaga kwa tv
i wonder what her business be
it’s crazy ila kama unataka tuwe hivi mbona freshy

uuuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
najionea mauzauza uza uuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
najionea mauzauza uza uuh mummy eeh

nimeshasticky ooh, kama gundi nimesticky ooh
uuh mama unanimaliza eeh, nipe nafasi nikupe love
nimeshasticky ooh, kama gundi nimesticky ooh
uuh mama unanimaliza eeh, nipe nafasi nikupe love
uuuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
najionea mauzauza uza uuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
uuuh mummy eeh
najionea mauzauza uza uuh mummy eeh

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...