letra de nyota - salmin swaggz & young lunya
iteni fire kama ni nyaya zimegusana
ita daktari maana mistari leo inachanwa
vita vikali nipo nasali, isiwe ka jana
sijui magari ila naongoza kwa kupiga maspana
pesa ni mkasi, bebe ni plus, pamba ni classy
mdomoni nyasi, maisha matamu ni kama nanasi
napiga pasi, unanipa story nakupa facts
nakupa facts
niko na vibe la seventy bars
na niko za dream za ma so-many cars
we never chase they bring to us
and we never let the oppotunity pass
they never cross the line ni curse
(they never cross the line ni curse)
culture ya zamani, tumeshabomoa tujenge na bars
check mwenyewe
how many girls
how many cars
usitake ni-curse (b-tch)
sichezi na kazi nacheza na pesa makaratasi
sina stress (soft) na ndio maana
inaniwakia nyota
inaniwakia nyota
inaniwakia nyota
inaniwakia nyota
nyota, nyota, nyota
inaniwakia nyota
big man, big dreams mi sioti hizi ndoto naishi
walitaka tukwame walitaka tufeli tuko hapa kwa sababu ya ubishi
pisi hatubembelezi sie masela sana ndio maana hawachezi na sisi
huku k-meremeta mungu alishapanga hata ningekuanga mpishi
kilo ni chache ila tumevunja mzani
kama unaweza fuata huku mkate wenzako hatuupakagi siagi
na nimetunza brand ni toka kipindi nashoot na kina majagi
mi mbaya kitambo toka enzi branded boy anajifunza kudougie
how many drinks, how many girls, how many cash?
how many bodies, how many mtindis, how many nyash?
sorry how many aah, how many chicks, how many are drunk? (how many)
hakuna juice kama ni fake how many packs, how many facts?
check mwenyewe
how many girls
how many cars
usitake ni-curse (b-tch)
sichezi na kazi nacheza na pesa makaratasi
sina stress (soft) na ndio maana
inaniwakia nyota
inaniwakia nyota
inaniwakia nyota
inaniwakia nyota
nyota, nyota, nyota
inaniwakia nyota
letras aleatórias
- letra de bandida - boza
- letra de the end - hook
- letra de untapped - lou chikuni
- letra de maria e o samba - roberto carlos
- letra de la vida loca - twenty seven
- letra de in and out of love - melanie c
- letra de pyaar - diljit dosanjh
- letra de man of the world - fee waybill
- letra de charmaine - vic damone
- letra de марш согласных (march of consonants) - lumen