letra de ufukweni mwa bahari - sabaha salum
siku uliyotokeza roho ukaichukua macho yanielekeza kwako wewe msifiwa
siku uliyotokeza roho ukaichukua macho yanielekeza kwako wewe msifiwa
na moyo wanihimiza dhamiri yako kujua
na moyo wanihimiza dhamiri yako kujua
jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa
jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa
jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwa
jinsi ulivopendeza sadiki nimevutiwaaah
uf-kweni mwa bahari mikono tumeshikanaaa
mawimbi yameshamiri upepo umeumanaa
uf-kweni mwa bahari mikono tumeshikanaaa
mawimbi yameshamiri upepo umeumanaa
kwa vyovyote mi tayari
hata tukijulikana kwa vyovyote mi tayari tena wataumwa sanaaa
kwa vyovyote mi tayari
hata tukijulikana kwa vyovyote mi tayari tena wataumwa sanaaa
nimeshatua mahali
mapenzi nishaibua
bora haisomi hali
muhibu ukanielewa
nimeshatua mahali
mapenzi nishaibua
bora haisomi hali
muhibu ukanielewa
minampenda kikweli watu woote wanajuaa
minampenda kikweli watu woote wanajuaa
twaendelea wawili soote tushapendezewa
twaendelea wawili soote tushapendezewa
twaendelea wawili soote tushapendezewa
twaendelea wawili soote tushapendezewa
uf-kweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
uf-kweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
kwa vyovyote mi tayari
hata tukijulikana
kwa vyovyote mi tayari
tena wataumwa sana
kwa vyovyote mi tayari
hata tukijulikana
kwa vyovyote mi tayari
tena wataumwa sana
nyoyo tumezifungua
wenyewe twajizuzua
wenyewe twajizuzua waovu watajeua sisi tumejizingua
nyoyo tumezifungua
wenyewe twajizuzua
wenyewe twajizuzua waovu watajeua sisi tumejizingua
mimi na yeye murua kwa waridi na vilua
mimi na yeye murua kwa waridi na vilua
tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
tena tumeshaamua na liwe litalo kuwa
uf-kweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
uf-kweni mwa bahari mikono tumeshikana mawimbi yameshamiri upepo umeumana
kwa vyovyote mi tayari
hata tukijulikana
kwa vyovyote mi tayari
tena wataumwa sana
kwa vyovyote mi tayari
hata tukijulikana
kwa vyovyote mi tayari
tena wataumwa sana
letras aleatórias
- letra de in sickness and in death - vastum
- letra de além dos dreadlocks - ari
- letra de eve - nodfather
- letra de listen - sebby666
- letra de after losing you - vern gosdin
- letra de боль но - yscruti//sdv
- letra de body like a backroad - upchurch
- letra de het is wat het is - fleddy melculy
- letra de beni vurup yerde bırakma - emre aydın
- letra de waves - calpurnia