letra de mkosefu wa fadhila - sabaha salum
mkosefu wa fadhila – sabah salum
mkombozi records
ooooooohhhh ooooohh
aaaaaaaaah
ooooooohhhh ooooohh
mmmmhh mhhhhh
ooooooohhhh ooooohh
aaaaaaaaah aaaaaah
mmmmhh mhhhhh
mmmmhh mhhhhh
ulikuja limbukeni hapo tulikubeba
siku zoote la ubani halitibiki kwa vumba
oooohhh
ulikuja limbukeni hapo tulikubeba
siku zoote la ubani halitibiki kwa vuumbaaa
hukujali ikhisani na kila la matwilabaa
usipoteze wakati fa hilo kulivimbaa
oooooohhh
hukujali ikhisani na kila la matwilabaa
usipoteze wakati fa hilo kulivimbaa
chuma hakiwi boliti na uzi hauwi kambaa
ufahamu ilo kuti ni sawa sawa na pamba
oooooohhh
chuma hakiwi boliti na uzi hauwi kambaa
ufahamu ilo kuti ni sawa sawa na pamba
mbeleko tuliikaza kuuzidi utu wakoo
ulitoka kwenye giza tukaficha aibu yakoo
leo unatushangaza kuchonga mdomo wako
leo unatushangaza kuchonga mdomo wako
ooooooohhhh ooooohh
aaaaaaaaah
ooooooohhhh ooooohh
mmmmhh mhhhhh
ooooooohhhh ooooohh
aaaaaaaaah aaaaaah
mmmmhh mhhhhh
mmmmhh mhhhhh
ooooooohhhh ooooohh
aaaaaaaaah aaaaaah
ooooooohhhh ooooohh
mmmmhh mhhhhh
ewe usie jihisi mbio hupumuii
nawala hujitikisi nifungapo hufunguiii
ooooohh
wewe usie jihisi mbio hupumuii
nawala hujitikisi nifungapo hufunguii
napunda hawi farasi usijifanye huelewii
kila tukificha kiumbe haufadhilikii
ooooh
napunda hawi farasi usijifanye huelewii
kila tukificha kiumbe haufadhiliiiikii
ni kama tambara bovu huwa halisarifikii
tabia ya n-z- mbovu uvundo haubandukii
ni kama tambara bovu huwa halisarifikii
tabia ya n-z- mbovu uvundo haubandukii
mbeleko tuliikaza kuuzidi utu wakoo
ulitoka kwenye giza tukaficha aibu yakoo
leo unatushangaza kuchonga mdomo wako
leo unatushangaza kuchonga mdomo wako
ilo unalotarajii ni shida jua haliipooo
na kilo mbali hakiji kisichokuwa si chako
kapu haliteki maji wamaliza nguvu zako
ooooohh
kapu haliteki maji wamaliza nguvu zako
unachokitafuta hukipati kw-ngu
unajisumbuaaaa
mungu ameshanipa ridhikii yangu
hutonifikiaaa
unachokitafuta hukipati kw-ngu
unajisumbuaaaa
mungu ameshaniipa ridhikii yangu
hutonifikiaaa
kwa vishindo hunipati sio shida zangu
unajisumbuaaaa
la mungu hulifuti nina fungu langu
hutonifikiaaa
kwa vishindo hunipati sio shida zangu
unajisumbuaaaa
la mungu hulifuti nina fungu langu
hutonifikiaaa
tena usijisumbuе sio levo yangu
unajisumbuaaaa
niache nipumue wе si mke mwenzangu
hutonifikiaaa
tena usijisumbue sio levo yangu
unajisumbuaaaa
niache nipumue we si mke mwenzangu
hutonifikiaaa
ayaaaa weeeeee
mwanangu mwenyewe thabit abduli
letras aleatórias
- letra de gonna be a darkness - the jayhawks
- letra de feelings for you - breezy ideygoke
- letra de 25 | خمسة وعشرين - zap tharwat
- letra de us / ms. kitt's quips - neruda
- letra de can't do without it - mink deville
- letra de phone call at 3 a.m. - jerrod niemann
- letra de vem quente que eu estou fervendo - diogo nogueira
- letra de lose my mind - pacific air
- letra de addiction - lil rip
- letra de faza - fejz x samiryi