letra de niamini yahabibi - sabah salum
niamini yahabibi
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahabibiii powa mikononi
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahabibiii powa mikononi
powa mikononi powa mikononi
powa mikononiiii
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahaaaah powa mikononi
na uniaminii
hofu kw-ngu hofu toa,hofu kw-ngu hofu toa
hofu kw-ngu hofu toa,hofu kw-ngu hofu toa
nikupe undani ulio moyonii,nikupe undani ulio moyoonii
nikupe undani ulio moyonii,nikupe undani ulio moyoonii
uliyo moyonii aaaaha,uliyo moyonii aaaaha
uliyo moyonii aaaaha,uliyo moyonii aaaaha
yahabibi yahabibi nimekuteua moyonii
you are heshimi you are heshimi tena wa thamanii
yahabibi yahabibi nimekuteua moyonii
you are heshimi you are heshimi tena wa thamanii
mwenginewe simuoni ,mwenginewe simuoni
ila wewe dear
mwenginewe simuoni oooh ,mwenginewe simuoni
ila wewe dear
ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa
mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani
ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa
mimi ni wako jiaminii еwe swahiba mwandani
ooohh mmhhhhh ooohh mmhhhhh
mhhhhhhh mhhhhhhhhh
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahabibiii ua la haiba
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahabibiii ua la haiba
ua la haiba ua la haiba uwa la haibaaa
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yaaaaah ua la haiba w-ngu fuakiinii
pendo lako kw-ngu tiba pendo lako kw-ngu tibaa
pеndo lako kw-ngu tiba pendo lako kw-ngu tibaa
nitalithamini nakupa yakini,nitalithamini nakupa yakini
nitalithamini nakupa yakini,nitalithamini nakupa yakini
nakupa yakini aaah,nakupa yakini aaah
nakupa yakini aaah,nakupa yakini aaah
yahabibi yahabibi yahabibi
wewe zinduu nathamini
yadhaleem yadhaleem huba zako zisinikinii
yahabibi yahabibi yahabibi
wewe zinduu nathamini
yadhaleem yadhaleem huba zako zisinikinii
hakika nakuthamini,hakika nakuthamini
hakika nakuthamini,hakika nakuthamini
wewe w-ngu dear
hakika nakuthamini,hakika nakuthamini
hakika nakuthamini,hakika nakuthamini
wewe w-ngu dear
ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa
mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani
ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa
mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani
ooohh mmhhhhh ooohh mmhhhhh
mhhhhhhh mhhhhhhhhh
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahabibiii mlaani shetwani
yahabibi yahabibi yahabibi
yahabibi yahabibiii mlaani shetwani
mlaani shetwani,mlaani shetwani
mlaani shetwani,mlaani shetwani
yahabibi yahabibi yahabibi
mlaani shetwani asikudhalilii
tufaane duniani,tufaane duniani
tufaane duniani,tufaane duniani
na kesho peponi,na kesho peponi
na kesho peponi,na kesho peponi
na kesho peponi aahaa,na kesho peponi ahaaa
na kesho peponi ahaaa,na kesho peponi aaaahh
yahabibi yahabibi tulia mw-ngu moyoni
yaah nur lain yaah nur lain mimi wako maishani
pendo langu liamini,pendo langu liamini
pendo langu liamini mimi wako dear
pendo langu liamini,pendo langu liamini
pendo langu liamini mimi wako dear
ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa
mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani
ewe swahiba mwandani ebo wari ziondoa
mimi ni wako jiaminii ewe swahiba mwandani
letras aleatórias
- letra de lowkey thicc / nice toes - lil dom
- letra de szerelem virága - edda művek
- letra de letter to my ex - proverb
- letra de shark bytes - off the hook
- letra de rebel la familia - cheek the profit
- letra de all around the world - tfemi
- letra de what is love (album version) - empire cast
- letra de shokugeki - lil weeb
- letra de record store 2 (skit) - eminem
- letra de ловим (we catch) - the nek (russia)