letra de mlango wa mungu uwazi - sabah salum
mlango wa mungu uwazi
mja hufiki popote, ni bure chako kiburi
dunia ni yetu sote, tajiri na mafakiri
mja hufiki popote, ni bure chako kiburi
dunia ni yetu sote, tajiri na mafakiri
jua wabaya si wote, wapo watonistiri
jua wabaya si wote, wapo watonistiri
riziki hutoi wewe, mja usitakabari
riziki hutoi wewe, mja usitakabari
ooohhh lalaalala
ukinisusia wewe, sish-tuki moyo w-ngu
sish-tuki moyo w-ngu
nitapata mwenginewe, atojali shida zangu
atojali shida zangu
ukinisusia wewe, sish-tuki moyo w-ngu
sish-tuki moyo w-ngu
nitapata mwenginewe, atojali shida zangu
atojali shida zangu
hasama mimi na wewe, si kusudio langu
ukinibagua wewe, hanitupi mola w-ngu
ooh hasama mimi na wewe, si kusudio langu
ukinibagua wewe, hanitupi mola w-ngu
kama wewe ni mbaya, nao wema wapo tele
kama wewe ni mbaya, nao wema wapo tele
chorus
jua mlango wa mungu, uwazi kaufungua
kama riziki ni yangu, huwеzi kuiondoa
jua mlango wa mungu, uwazi kaufungua
kama riziki ni yangu, huwezi kuiondoa
ufanyaje mlimwengu, usiyеkuwa na haya
utamaliza mizungu, la mola hutopangua
ufanyaje mlimwengu, usiyekuwa na haya
utamaliza mizungu, la mola hutopangua
verse 2
mhh
madhali ni hai,sina wasiwasi
kwa riziki yangu,kwa mola ilahi
najua sikosi,nna langu fungu
madhali ni hai,sina wasiwasi
kwa riziki yangu,kwa mola ilahi
najua sikosi,nna langu fungu
taji hunivui,hili lishapasi
sijipe uchungu.choyo hakifai
na chuki binafsi,ewe mlimwengu
taji hunivui,hili lishapasi
sijipe uchungu.choyo hakifai
na chuki binafsi,ewe mlimwengu
ukiufunga wa kwako mlango
juwa wa mungu uwazi.ukiufunga wa kwako mlango
juwa wa mungu uwazi
verse3
umekaza uzi,kunichonganisha,kwa mashoga zangu
nalijua wazi,linokukondesha,ni bahati yangu
umekaza uzi,kunichonganisha,kwa mashoga zangu
nalijua wazi,linokukondesha,ni bahati yangu
unajipa kazi,hutoiondosha
kudura ya mungu.hayo huyawezi
wajihangaisha,yawache majungu
unajipa kazi,hutoiondosha
kudura ya mungu. hayo huyawezi
wajihangaisha,yawache majungu
unajipa kazi,hutoiondosha
kudura ya mungu. oohhh hayo huyawezi
wajihangaisha,yawache majungu
sote wa kukadiriwa na mungu,hatujitoshi kwa kitu
sote wa kukadiriwa na mungu,hatujitoshi kwa kitu
atowaye ni kahari, kwa matamu machungu,kwa matamu machungu
usijipe ujabari, kuvaa joho la mungu,kuvaa joho la mungu
atowaye ni kahari, kwa matamu machungu,kwa matamu machungu
usijipe ujabari, kuvaa joho la mungu,kuvaa joho la mungu
haufai ujeuri, ewe kiumbe mwenzangu
tuendako ni shubiri, mwanandani letu fungu
oohh haufai ujeuri, ewe kiumbe mwenzangu
tuendako ni shubiri, mwanandani letu fungu
joho la mwenyenzimungu, mja likufae wapi
joho la mwenyenzimungu, mja likufae wapi
chorus
jua mlango wa mungu, uwazi kaufungua
kama riziki ni yangu, huwezi kuiondoa
jua mlango wa mungu, uwazi kaufungua
kama riziki ni yangu, huwezi kuiondoa
ufanyaje mlimwengu, usiyekuwa na haya
utamaliza mizungu, la mola hutopangua
ufanyaje mlimwengu, usiyekuwa na haya
utamaliza mizungu, la mola hutopangua
jeuri ya nini wewe,hukujiumba umeumbwa
umezidi ni wewe,kiburi chako ni buree
mlango wa mungu uko wazi,ridhiki napata mimi
ninarutubiwa mimi,mungu amenistiri
letras aleatórias
- letra de quiero bailar contigo - chayanne
- letra de soo madd - rico bee
- letra de the paper - jim jones
- letra de the less you know - incognito
- letra de waiting for sex (full version) - erasure
- letra de ten miles wide - the builders and the butchers
- letra de shigga morning - shigga shay
- letra de značajan događaj - nežni dalibor
- letra de celebrate - james durbin
- letra de моё время (my time) - lumen