letra de hisani yangu - sabah salum
hisani yangu lyrics
sabah salum hisani yangu
hisani yangu imenipoza mie
imenifanya nidharauliwe
kwa kuwa hali yangu ya mwenzangu miee
ohhhhhh
sina wema katika hii dunia
kila balaa limeniangukia
leo hii sina raha sitaki kuyasikia mimi
kwa ukweli yanauma yanatia na uchungu
kunichoma yanachoma ndani kwenye moyo w-ngu
sitaki kujikera nimechoka namaudhi nafsi yangu
kila kukicha balaa linazushwa kw-ngu mie
lawama ninatupiwa mbayambaya mitaani
ubaya ninaotiwa kwa watu sina thamani mimi
hisani nilofanya wachainigeukie
utu hauna maana niliofanya mie
nimedharauliwa sana mbele ya kitu mjue mimi
kama nilawama na nialaumie
na litakalo kuwa lolote naliwe
binadamu hana wema ata vipi afanyiwe
ooooohhhhhh
nilivyosalitiwa katika mapenzi yangu
nia k-mbe ilikuwa kuvunjwa life yangu
vyovyote itavyokuwa watak-mbuka fadhila zangu mimi
ila kulirudisha penzi ni ngumu wala sitaki
nishauma siwezi bora na iwe khalasii
mimi na yeye mapenzi nasema na yawe basi mimi
asofadhila ni ngumu kufadhilika kwa jema
kaona kipya kijemi kanisalita bayana
kama kaona kapata basi amepatikana yeyе
mimi kwa upande w-ngu sijifananishi nae
hata iwe roho yangu siko sawasawa naе
na mudu maisha yangu yanifae baadae mimi
kama nikupata basi naapate
iwe ivyoivyo juu asishuke
siwezi kuiziba ridhiki yake oohhhoo
kuepuka matatizo shari naepuka nayo
kwani toka zama izo sina jema mimi kwao ohho
kwa kuwa sina uwezo ule watakao wao
tungeumbwa sote sawa tusingeheshimiana
weee binadamuuuuu
ndio maana tumeumbwa watu hatujafanana
bora nibaki nadhiki kuliko maudhi bhana
inaumaa yanachomaa yanauma yanachoma
yanachomaa yanauma yanachoma
letras aleatórias
- letra de blowin up - sliccmic
- letra de menuett på haga (polka de roi) - di sma undar jordi
- letra de kant relax (demo) - nu_centri
- letra de day n night - zara larsson
- letra de 05. swoosh - ignoto
- letra de kakampi - tothapi
- letra de hotline, hotspot - mforce011
- letra de alice - ted gärdestad
- letra de we wont die down - early times
- letra de isa, dalawa, tatlo - rhodessa