letra de hakuna jipya - sabah salum
hakuna jipya taarab – sabah salum
mkombozi records
hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale
afanyalo jipya dunia ni ile ile
hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale
afanyalo jipya dunia ni ile ile
upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii
neno ukigeuza tusi hauninyimi usingizi
upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii
ooohhhhhh
neno ukigeuza tusi hauninyimi usingiziii
ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi
sinichafueni basi tunajaziana nzii
ooohhhhhh
ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi
sinichafueni basi tukajaziana nzii
mapenzi ni yaleyale waliyoanza mababu jipya alitotokeaa
ubaya ni vile vile hayo mengine sababu waja mwanitafutiaa
mapenzi ni yaleyale waliyoanza mababu jipya alitotokeaa
ubaya ni vile vile hayo mengine sababu waja mwanitafutiaa
nao wema ni ule ule malipo yake thawabu mola alishatuambiaa
vyeema kuwa mpoole tusitiane ghadhabu siku kaniaribiaaa
nao wema ni ule ule malipo yake thawabu mola alishatuambiaa
vyeema kuwa mpoole tusitiane ghadhabu siku kaniaribiaaa
usininyooshee kidolee hutonitia aibuuu ooh tuli nitakuangalia
sina iridhi sina chale mlinzi w-ngu wahaabu oohhh yeye namtegemea
sininyooshee kidolee hutonitia aibuuu tuli nitakuangalia
sina iridhi sina chale mlinzi w-ngu wahaabu yeye namtegemea
likotoka mashariki magharibi litatuaa
kusanya na mashabiki waje mje muuze jua
likotoka mashariki magharibi litatuaa
kusanya na mashabiki waje mje muuze jua
kama hilo uliwezii basi yoote yaleyalee
hata mimi huniwezi mola kaniweka mbele
kama hilo uliwezii basi yoote yaleyalee
hata mimi huniwezi mola kaniweka mbele
ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo
maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo
ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo
maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo
alo kula amekula kala nini haijuzu
iwe biriani kala au dagaa kauzu
tuombeane sitara tusitenguane udhu
ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo
maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo
hakuna lililo jipya lipate kunish-tua
ambalo mtajitapa moyo mkanilipuaa
hakuna ubaya mpya ulio chini ya juaa
ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo
maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo
taarab/mshairi /lyrics
letras aleatórias
- letra de in my mind - martin. c
- letra de love walked in - michael feinstein
- letra de talvez (part. tom veloso) - caetano veloso
- letra de above and beyond (live in rome 2013) - deep purple
- letra de fear - so below
- letra de chain gang blues - matt suarez
- letra de whatever happened to melody - michael feinstein
- letra de the last one - chemical club
- letra de equal - gerald ofori
- letra de menepis bayang kasih - inka christie