letra de niko upside - rusty kenyan gucci
intro
rusty boy
na mc rank
alter productshizzle
leo niko upside
upside
chorus
leo niko upside, leo niko upside
nimechoka na underground
nipe nafasi, nipe nafasi
usiwe na wasi au kasi x2
verse 1
ni wengi wanasema kuwa mimi niko down,
nawapa kitu kali k-mliko sean paul,
utanicheki kwa tv ukiwa tu hapo home,
relax utulie na ufungue diro,
joto ikizidi basi, toa tisho
mi huenda ma lap nikichapa tu ma show,
usanii iko kwa blood si kitu ya kujidoo,
ukisikia hiyo beat utajuta kunidiss
nikishika mic mi nakupa kitu real coz
leo niko up all the way from down yeah
chorus
leo niko upside, leo niko upside
nimechoka na underground
nipe nafasi, nipe nafasi
usiwe na wasi au kasi x2
verse 2
am the best in kenya, superior than the rest
all the way from west, calling jah to bless yeah
no matter what you claim, i will still excel
everywhere i go, everything i do
n-body will be, a crime to me
celebrity is the label, call me an eagle
i am a n-gg- throwing, my fingers up and down
to frustrate the waiders, coz leo niko up all the way from down yeah
leo niko up all the way from down yeah
chorus
leo niko upside, leo niko upside
nimechoka na underground
nipe nafasi, nipe nafasi
usiwe na wasi au kasi x2
verse 3
saa hii nimefika, mahali mi nalike,
ninaenda speed kama ninaride bike,
ninafeel, niko high why lie,
niko hike, na psych inaniply
nimetoka far, situation sitamind,
ninapledge, mimi sitakosa plight
mafans wananilike kama chapaa
hakuna kuogopa sibebi silaha
wacha kunidiss sikunywi chang’aa
ujuwe nimefika na ninafly high
ujuwe nimefika na ninafly high
na ninafly high
chorus
leo niko upside, leo niko upside
nimechoka na underground
nipe nafasi, nipe nafasi
usiwe na wasi au kasi x 4
outro
usiwe na wasi au kasi
usiwe na wasi au kasi
letras aleatórias
- letra de théorie du chaos - elom 20ce
- letra de stranci - tanja savić
- letra de al fin te encontré - macarena
- letra de 12 pouces - orloge simard
- letra de i just love you (就是爱你) - david tao (陶喆)
- letra de konings - adje & cho
- letra de karti-k - ooouuu (refix) punjabi rap 2017 - karti-k singh
- letra de the last public telephone - hey geronimo
- letra de merci beaucoup - caballero & jeanjass
- letra de pour karim, pour fabien - renaud