letra de trap ronga - russian g 254
[verse] – modric collo
daily kwa keja kuchana mogoka, saa ikifika ni masaa ya mboka, vile twapora wacha tumechora, zetu picha zote kama za horror, mabling kushika na bado kupora, luk kupiga na bado kushona, ngwai kuvuta alafu kuchoma, biz kupiga kisha kuomoka
[chorus]
toxic gang si ndo kusema buda hii mtaa ya ronga, vile twamada hii trap alafu buda mseme mi ni uchawi, vile sisi hua kunywa, vile sisi bado huwa twawakaranga, vile sisi huwaroga hadi wengine wanasunda lawama, simba yes papa, bow down ndo useme(seme), simba, yes kapello ye ndo kusema kwa gang, simba yes papa, bow down ndo useme(seme), simba, yes kapello ye ndo kusema kwa gang
[verse] – kang kang kapello
jeshi ni mbaya na bado ni jinga, nyuria warazi nadunga mambleina, mambanga kwa ploti kusaka mapedi, mimi ni pedi, naburn magode, najua mapedi nakinda magode, kapello ndo mimi sipendi warazi, nipate na toxic jeshi ya mine, mbleina warazi akuna rahisi, iteni stoopid akam awaokolee, vile ni ngori itabidi mmetii, as fast as a manyanga, akuna lawana ukisunda lawama itabidi umezaa, mimba ya msimu kulea maisha, najua mi si perfect lakini na try, krisi itabaki kuburn magode, magode ndo fom, magode ndo fom
[chorus]
toxic gang si ndo kusema buda hii mtaa ya ronga, vile twamada hii trap alafu buda mseme mi ni uchawi, vile sisi hua kunywa, vile sisi bado huwa twawakaranga, vile sisi huwaroga hadi wengine wanasunda lawama, simba yes papa, bow down ndo useme(seme), simba, yes kapello ye ndo kusema kwa gang, simba yes papa, bow down ndo useme(seme), simba, yes kapello ye ndo kusema kwa gang
[verse] – modric collo
doo naingiza nawacha kusota, vile nabonda nawacha kusonga, smile kuweka kisha tunasonga, namada hii verse na punch ya koma
[verse] – kang kang kapello
krisi magode magode ndo fom,twafunga this year maduya ndo mob, jaba kwa wingi kashike hadi chee, apana lawana akuna uganga
[chorus]
toxic gang si ndo kusema buda hii mtaa ya ronga, vile twamada hii trap alafu buda mseme mi ni uchawi, vile sisi hua kunywa, vile sisi bado huwa twawakaranga, vile sisi huwaroga hadi wengine wanasunda lawama, simba yes papa, bow down ndo useme(seme), simba, yes kapello ye ndo kusema kwa gang, simba yes papa, bow down ndo useme(seme), simba, yes kapello ye ndo kusema kwa gang
letras aleatórias
- letra de température - cas de conscience
- letra de jackie-o - maeckes
- letra de lon-don city - caspa
- letra de angela - coma
- letra de noch einmal - eko fresh
- letra de along came a biter - busdriver
- letra de write you a love song - loving caliber
- letra de georgy porgy - charme
- letra de maizena - vald
- letra de verdisett (enkle tips & huskeregler) - don martin