letra de barua ya mapenzi - rodjazz
barua ya mapenzi lyrics
song title: barua ya mapenzi
verse one
vile tulizamia
kwenye bahari ya huba
haikuwa rahisi mmoja wetu kuibuka
ghafla imepigwa fimbo ya musa
mimi misri wewe kaanani
wewe asali na maziwa
mimi huku taabani
moyo umejawa giza
furaha naisaka kwa tochi
we samaki umenimeza
kutoka kwako hadi ninawi ooh
chorus
ifungue kwa busu
ni yako inakuhusu
sikuwa na namna ya kukufikia
ila kwa baraua
insta maruf-ku
piga simu ni patupu
hakuna namna ya kukufikia
ila kwa barua
verse two
nimeshaiona milele
tukipanda kwa kilele
raha mustarehe
mi nikachagua unyonge
ukanipa ufalme
penzi debe
nikachagua kikombe
shetani alinizidi kasi
malaika ingilia kati, ooh
chorus
ifungue kwa busu
ni yako inakuhusu
sikuwa na namna ya kukufikia
ila kwa baraua
insta maruf-ku
piga simu ni patupu
hakuna namna ya kukufikia
ila kwa barua
bridge
moyo umejawa giza
furaha naisaka kwa tochi
shetani alinizidi kasi
malaika ingilia kati
chorus
ifungue kwa busu
ni yako inakuhusu
sikuwa na namna ya kukufikia
ila kwa baraua
insta maruf-ku
piga simu ni patupu
hakuna namna ya kukufikia
ila kwa barua
letras aleatórias
- letra de daddy - pontus pilatus
- letra de green eyes - lily ire
- letra de redefine (feat. donovan melero) - vis
- letra de die for you - edwin leal
- letra de turning less - the average
- letra de dfm - daddycation
- letra de the shattered monolith - darkaeon
- letra de 아픈 슬픔 (painful sadness) - younha
- letra de tell me why - artso
- letra de young and addicted - devious r