letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de niombee - roadie ginger

Loading...

dear lord
am bowing down
i wanna pray for my country
i wanna pray for my people
i wanna pray for our families
i wanna pray for everyone
amen

mungu baba hili janga tuondolee
tunahangaika wanao tuokolee
kama ni mwisho wa dunia tusamehe

mandugu zetu upendo uwape
maadui zetu wote tuwapende
kwenye bahari ya shida tusizame

chorus
wanachotamani
(mimi nipotee)
nachotaka amani
(nchini kote)
wasinilaani
(niokoe)
mola

wanachotamani
(mimi nipotee)
nachotaka amani
(nchini kote)
wasinilaani
(niokoe)
mola
atuokoe nani kama sio messiah
kamteua william atutoe pabaya
jikaze mwana j-po wanakutaya

tuache ukabila, tuepuke mashida
wazee wenye hila, wametupiga vita
aibu gani jamani?
tunaiweka hadharani

chorus

wanachotamani
(mimi nipotee)
nachotaka amani
(nchini kote)
wasinilaani
(niokoe)
mola

wanachotamani
(mimi nipotee)
nachotaka amani
(nchini kote)
wasinilaani
(niokoe)
mola
this song, is a big dedication
to all huster nation supportеrs and
the country of kenya

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...