letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de soldier - rizzo

Loading...

intro] rizzo

35 35 3560
“[?]”

[chorus] rizzo

niko strong kama soldier lazima ni-win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni-win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite

[verse 1] g star

aah
we’ jua tu si’ huchukua tu vile ime-come
ukiweka resolution me nime-set goals zangu
niko na ki-pipe pipe na kina babu
na tukona bamboo za kuleta adabu
sharty muislamu anani-show mtaani ni lamua
alinipea yellow bado nikafunga tatu
nishai kuwa deep hunting karibu kujisahau
nishai kuwa maze running mpaka kwa matatu
mshai fanyiwa uduu alafu karma ika-do
maderee kwa hii jeshi hii mbogi inaweza ku-screw
usikuje na mamoshi wherever singem”[?]”
na wakidai kucheza “[?]”
[chorus] rizzo

niko strong kama soldier lazima ni-win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni-win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite

[verse 2] rizzo

easy come easy go so nabaki hard core
kunibakisha is a very big no
cheki
kwa battle field nimejibebea mto
aah
ready to die nak-mbuka niliwa-show
i’m so brave kama lion sio simba
you can have my time ka’ ni shughuli tunapiga
nike kicks saa ya weather ni marimba
makoja ni biggy unaweza uliza g star
na-stand tall very tall kama pyramid
usi-talk sh-t hizi endz utalazwa g
mko na beef me kejani nimejaza green
banja kwa net kwa street huwezi fanya sh-t
[chorus] rizzo

niko strong kama soldier lazima ni-win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite
niko strong kama soldier lazima ni-win fight
fully armoured mapori ziko tight
napenda nyama mbichi na nikule ikiwa tight
saa hiyo niko juu napepea kama kite

[outro] g star

“[?]”
we rep’ing east side
3,5,6,0
yeah
east side “[?]”

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...