letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de miondoko - rico gang

Loading...

ati eeh
banjuka ni kama unarusha mamikono eeh
tingisha kichwa chunga usivunje kisogo
eeh teremka teremka ka kono kono
basi ni kionjo twende mamiondoko

eeeh mamio mio mio mio miondoko
eeh mamio mamio mamiondoko
eh amio mio mio mio miondoko
saa si inadonjo wah ni k-moto

eeeh mamio mio mio mio miondoko
eeh mamio mamio mamiondoko
eh amio mio mio mio miondoko
saa si inadonjo wah ni k-moto

ati kale kadance cheki kale kadance
kwanza ukiwa kijaba ndo unapewa kichance
slow but sure na ukizitoka unarelax
rusha mikono juu ni kama hujui kudance

ah toa kofia na mkono wa kulia
pa-panguza kihara bas na utoe kijasho
moonlight love kwa jua na mpango wa kando
ndo ndo ndo kicianda mmeitana —
mamiondoko mami si poko
ka kuna njoti tunaachana na popcorn
ongeza flow doh ju tumedonjo
alisema ni fastee but hio ni uongo

si kienyeji huyo dem ni mwitu
see thru′ niliacha chuo nipe kip2
hii tu ndani ya msitu iko na jitu
please tu nimemada harry washow kitu

eeeh mamio mio mio mio miondoko
eeh mamio mamio mamiondoko
eh amio mio mio mio miondoko
saa si inadonjo wah ni k-moto

eeeh mamio mio mio mio miondoko
eeh mamio mamio mamiondoko
eh amio mio mio mio miondoko
saa si inadonjo wah ni k-moto

round za mtaa nikapata mia khalifa
mia kadhaa, mami mia akajipa
pale kwa local kwa ile mbogi ya fifa
teremsha, teremsha angusha ka ka litre

alikula facе, girimba alikuja face na rira
na tuko east tuliza venye alifanywa
miondoko lazima ondoka kama umеzima
uliza harry craze venye alifanya
alichoma mbogi wakadai kuokoka
hapa ka hujui kudance ni urudi kule umetoka
ndani ya club first na wa mwisho kutoka
rombosea boy fisi ni ka kiuno ina motor
oka, one night na mimi unaomoshwa
miondoko funny tu kama kwako umeosha
ukikam bash bila potty unaondoka
vunja mifupa miondoko bado stopper

eeeh mamio mio mio mio miondoko
eeh mamio mamio mamiondoko
eh amio mio mio mio miondoko
saa si inadonjo wah ni k-moto

eeeh mamio mio mio mio miondoko
eeh mamio mamio mamiondoko
eh amio mio mio mio miondoko
saa si inadonjo wah ni k-moto

banjuka ni kama unarusha mamikono eeh
tingisha kichwa chunga usivunje kisogo
mamio mio mio mio miondoko
mamio mamio mamiondoko
eeh mamiondoko
mamio mio mio mio miondoko

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...