letra de wamoto - rich mavoko
(moko!)
kama sanamu ukicheka
una sura ya mdoli
siwezi kuneng’eneka
kwako mateka kigoli
na sipagawi kiunoni shanga
umbo umejaliwa
uko kibada nitauza shamba
ama ushanunuliwa
usije tanga tanga kwa waganga
mwisho ukaibiwa
mpaka varandani tulicheze vanga
toto amejaliwa
mi natamani k-mshika (wamoto huyo)
asa nikimuona (wamoto huyo)
akikatiza kwa mtaa (wamoto huyo)
moyo unanisonona (wamoto huyo)
tena alivyoumbika (wamoto huyo)
toto nyama kanona (wamoto huyo)
sasa mimi nitafanyaje (wamoto huyo)
naishia k-muona (wamoto huyo)
anakomesha sista duu
wanamuita mama yao
namtamani kwa bedi tuu
kanikomesha kwa viwalu
hayo macho ukimwona
kama amekula kungu
alipofumuka anashona
huko nyuma kama nundu
na sipagawi kiunoni shanga
umbo umejaliwa
uko kibada nitauza shamba
ama ushanunuliwa
usije tanga tanga kwa waganga
mwisho ukaibiwa
mpaka varandani tulicheze vanga
toto amejaliwa
mi natamani k-mshika (wamoto huyo)
asa nikimuona (wamoto huyo)
akikatiza kwa mtaa (wamoto huyo)
moyo unanisonona (wamoto huyo)
tena alivyoumbika (wamoto huyo)
toto nyama kanona (wamoto huyo)
sasa mimi nitafanyaje (wamoto huyo)
naishia k-muona (wamoto huyo)
mi bado sijatulia (n-z-changa changa)
usipagawe jina (n-z-changa changa)
nitaunda hata rubia (n-z-changa changa)
ili kukata bima (n-z-changa changa)
nafanya tu nikupate (n-z-changa changa)
ili niwe na wewe (n-z-changa changa)
afya nikuvishe pete (n-z-changa changa)
uje nyumbani kinole (n-z-changa changa)
baby!
letras aleatórias
- letra de live on - nuski2squad
- letra de cry (yoste remix) - gryffin & john martin
- letra de old paint - pete seeger
- letra de anywhere - lussx
- letra de prita (anso remix) - butrint imeri
- letra de the reason - nic d
- letra de memories - i3vax
- letra de qué bien - kobi cantillo
- letra de unesco freestyle - rohan houssein
- letra de take it easy - bobby shock