letra de nidonoe - rich mavoko
want to touch your body, nidonoe
i want you baby, nidonoe
oyah whine for me, nidonoe
asa nyonga baby, nidonoe
twende mpaka chini, nidonoe
nataka be my baby, nidonoe
na anang’ara bikini, nidonoe
mpaka kwenye begi, nidonoe
naweka nukta aah na kibanda najenga
bondi duka na vicent vya mpemba
alivyo binuka, na mvalia kiremba
amechanuka, nakabananisha chemba
iyo lips anjelina jolie
your my african lady
kasura ka-kihindi kama kachori (chori)
hana mambo ya kienyeji
mtamu ka kiporo ooh! (mayo ooh! ananisokota)
anafinya godoro (mayo ooh! ananisokota)
ananichezesha ndombolo (mayo ooh! ananisokota)
miuno fulani ya kipogolo (mayo ooh! ananisokota)
i want to touch your body, nidonoe
i want you baby, nidonoe
oyah whine for me, nidonoe
asa nyonga baby, nidonoe
twende mpaka chini, nidonoe
nataka be my baby, nidonoe
na anang’ara bikini, nidonoe
mpaka kwenyе begi, nidonoe
risasi kama mia namimina eeh! (eeh! namimina)
kifo cha mеnde namimina weeh! (ooh! namimina)
una nying’inyiga kwa michezo yako
na ulivyo na figa nimefika kunako
yani kimanumanu (kiwewe eeh!)
unanirukisha na (seng’enge)
nimepandwa na hamu (nalege)
hebu saula (hilo tenge )
mtamu ka kiporo ooh! (mayo ooh! ananisokota)
anafinya godoro (mayo ooh! ananisokota)
ananichezesha ndombolo (mayo ooh! ananisokota)
miuno fulani ya kipogolo (mayo ooh! ananisokota)
i want to touch your body, nidonoe
i want you baby, nidonoe
oyah whine for me, nidonoe
asa nyonga baby, nidonoe
twende mpaka chini, nidonoe
nataka be my baby, nidonoe
na anang’ara bikini, nidonoe
mpaka kwenye begi, nidonoe
juu ninakaba mpaka penati (nakamia o, nakamia)
mpira wa kona napiga dochi (nakamia o, nakamia)
utautafuta hata kwa tochi (nakamia o, nakamia)
nimepata michuzi namwaga pochi (nakamia o, nakamia)
letras aleatórias
- letra de inuttuumasoq - siissisoq
- letra de motivation - freewyo
- letra de suburbs (feat. dark heart valentino & avrgejo) - anish ghosh
- letra de chinatown - the ballet
- letra de madre - hard gz
- letra de rolls - kai straw
- letra de magnifier - wallflower
- letra de juxtaposed - jv harris
- letra de watyusaying - shae g
- letra de バニラソルト (vanilla salt) - 堀江由衣 yui horie