letra de kaweka - rich mavoko
niwekeze kwako
upendo nikope
nilegeze macho
nilewe hadi kope
mwenzio, mwenzio
nakitazama kioo
beiby no, beiby no
usitamani lishoo
i say(kaweka)
nikizungusha(kaweka)
nikiinuka(kaweka)
kalivyo na mizuka(kaweka)
i say mama yeah(kaweka)
nikibinuka(kaweka)
kanaipukuta(kaweka)
mpaka kwa ukuta(kaweka)
nipeleke hadi boda
ikinasia irudishe lugoba
na maungo yamenoga
iko jasho kama mama unakoga
oya change siba
change siba
nimalize kabisa mazima
bora nipe …nipe…
hadi bashini leo navichuma
ya solo
nipapase kama solo
kwenye chochoro
iweke, tomorrow
i say(kaweka)
nikizungusha(kaweka)
nikiinuka(kawеka)
kalivyo na mizuka(kaweka)
i say mama yeah(kaweka)
nikibinuka(kawеka)
kanaipukuta(kaweka)
mpaka kwa ukuta(kaweka)
irudishe kabisa kwa gamba
iweke kimyani
ifikishe, itoe na maganda
uipe maruani
eeh mzee mk-mbatie, mng’ate
naumk-mbatie datty gote
namkamatie, mkamate
mk-mbatie kotekote
mbali oooh sheriee
gari limezima kona
hadithi uwongo na kweli
ili niweze kupona
asa nikokote mpaka chamange
chutama nione masinema
na, nakula kuku na mtama
uno la paka chongo la kutekenya
yeah(kaweka)
nikizungusha(kaweka)
nikiinuka(kaweka)
kalivyo na mizuka(kaweka)
i say mama yeah(kaweka)
nikibinuka(kaweka)
kanaipukuta(kaweka)
mpaka kwa ukuta(kaweka)
letras aleatórias
- letra de vogue - $atori zoom
- letra de manniquin - pop smoke
- letra de persi per strada - mizzz
- letra de ormq solo - lexpair
- letra de serendipity - egosex
- letra de #cqfd - lexpair
- letra de its deep - mic righteous
- letra de o maquinista e o viajante - gui valcant
- letra de please be - conor scott
- letra de 7aiaty 7arb | حياتي حرب - yousef joker يوسف جوكر