
letra de hongera - rich mavoko
yeyeee baby.. baby
yeaaahhh…
niliambiwa mapenzi upofu
katukatu nkawakatalia
kwako usikue na hofu
kabisa nikaweka macho ya bandia
k-mbe na chunga mzinga wa nyuki
bila kuhofia kuumia
hadi kwa rafiki nikajenga chuki
ili kifua kukukingia
ukanipa tunda kinzani
bila kujua lina miba
kwa kusahau tena sidhani
nikaweka matanga bila msibaa
nilijitahidii kuyaficha mengi wasione
macho shahidi
kinachonifanya nisonone
uliponilaghai ni mwanya
k-mbe ni pengo na unajua
ikanifanya nikupende sana
mwishoni kichwa ukasumbuaa
kwa yote uliyonitenda (hongera)
uliniumiza mie
kwa vingi ulivyo vifanya (hongera)
acha ukweli nikwambie
kwa yote uliyonitenda (hongera)
uliniumiza mie
kwa vingi ulivyo vifanya (hongera)
acha ukweli nikwambie
ulidhoofisha kauli yangu
kwa kutumia ndimi zakoo
ikanilazimu nafsi yangu
kuchukia uwepo wako
nyingi ahadi ziliweka kutu
zakusubili ubadilikee
k-mbe cha mtu huliwa na mtu
ikanifanya nifadhahikee
ulikata kwa nyembe
nyuzi nyembamba ya furaha yangu
ukanifanya nisipende
ule udhalili na utu w-ngu
nilijitahidii kuyaficha mengi wasione
macho shahidi
kinachonifanya nisonone
uliponilaghai ni mwanya
k-mbе ni pengo na unajua
ikanifanya nikupende sana
mwishoni kichwa ukasumbuaa
kwa yotе uliyonitenda (hongera)
uliniumiza mie
kwa vingi ulivyo vifanya (hongera)
acha ukweli nikwambie
kwa yote uliyonitenda (hongera)
uliniumiza mie
kwa vingi ulivyo vifanya (hongera)
acha ukweli nikwambie
oooohohh… kwa yote ulionitenda
uuuuuuh…. hongera…
letras aleatórias
- letra de sega dreamcast - andrenalin
- letra de millennium - chetta
- letra de smoking kings - 3deadidols
- letra de sangue latino - selton
- letra de svartravn - nytt land
- letra de wie speed - daniel aubeck
- letra de crypto - miky woodz
- letra de treason - crusey
- letra de counter clockwise (hounds remix) - hannah katana
- letra de million dollar baby (vhs) - tommy richman