letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yanga mwamba - rayvanny

Loading...

nawaleta mabingwa wetu muwaone
nawaleta mabingwa wetu muwaone
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
namleta rais hersi mumuone
namleta gsm bosi mumuone
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa

mabibi na mabwana
nawaletea mabingwa hao

kwanza tukifa hatuozi yanga
hatuna matatizo yanga
yanga hatuna baya yanga
yaani tumenyooka
tulizunguka kila kona
kutafuta furaha ya moyo
mungu katupa yanga inayotufaa
makolo najua inawachoma mkaroge
tanga bagamoyo
mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa
twaik-mbatia hamtufanyi chochote
tena yanga yetu
twaichumu hamsemi chochote
twaipenda pia
hamtufanyi chochote sisi ni yanga
tw-tamba hatumuogopi yoyote

wananchi mbele yanga mbele mbele
wananchi mbele yanga mbele mbele
acha tusonge mbele daima
mbelе mbele
acha tusonge mbеle daima
mbele mbele

nawaleta mabingwa wetu muwaone
nawaleta mabingwa wetu muwaone
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
namleta rais hersi mumuone
namleta gsm bosi mumuone
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
sisi ndo vinara yanga
tena tunang’ara yanga
muulize manara
si ndo tunatawala

raundi hii hatuachi nafasi
kashasema harafati
ali kamwe katuruhusu
tuvimbe hata kama hawataki
tulizunguka kila kona
kutafuta furaha ya moyo
mungu katupa yanga inayotufaa
makolo najua inawachoma mkaroge
tanga bagamoyo
mungu kapanga yeye hamuwezi kukataa

twaik-mbatia hamtufanyi chochote
tena yanga yetu
twaichumu hamsemi chochote
twaipenda pia
hamtufanyi chochote sisi ni yanga
tw-tamba hatumuogopi yoyote

wananchi mbele yanga mbele mbele
wananchi mbele yanga mbele mbele
acha tusonge mbele daima
mbele mbele
acha tusonge mbele daima
mbele mbele
nawaleta mabingwa wetu muwaone
nawaleta mabingwa wetu muwaone
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
yanga hawa hapa
namleta rais hersi mumuone
namleta gsm bosi mumuone
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...