letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de te quiero - rayvanny

Loading...

umenichanganya, oh mama na sikatai (sikatai)
ulivyo s-xy, s-xy i’m gonna die (i’m gonna die)
uzuri kakupa mama ruksa, n’jidai
harufu karafuu ya zanzibar, marashi ya dubai, aloh
tunafanana kama nyota na mbalamwezi
twaendana kutengana apange mwenyezi
tunafanana kama nyota na mbalamwezi
twaendana kutengana apange mwenyezi
‘asa nibebe, nikubebe-be
domo zege wakate ngebe
una utege, kiuno lege
utatoboa shati na chuchu dede
honey nakupendaga, te quiero
i love you, te quiero
te amo, te amo, te quiero
te -, te quiero
honey nakupendaga, te quiero
i love you, te quiero
te -, te quiero
te -, te quiero
aah, ah, mmh
na s’taki mpaka nikukose nd’o nijutie, mhmm
ama uondoke nd’o tena nilie, ah ah
eti mpaka unitoke nd’o niseme nataka nikwambie, ayy
kwamba nakupenda kila nikiamka, ah ah
na usipo toka machoni mw-ngu, sitamani hata kula
nahisi raha, utamu, unaikosha nafsi yangu
umejifungia moyoni mw-ngu, yani ninafuraha
naona raha, utamu, unaikosha nafsi yangu
(ah-aah) hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa ah-aah
aah baby
‘asa nibebe, nikubebe-be
domo zege wakate ngebe
huo utege, kiuno lege
utatoboa shati na chuchu dede
honey nakupenda, te quiero
i love you, te quiero
te amo, te amo, te quiero
te -, te quiero
honey nakupendaga, te quiero
i love you, te quiero
te amo, te amo, te quiero
te -, te quiero
i fall in love
i fall in love (fall in love)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...