
letra de sensema - rayvanny
[intro]
(aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa)
(aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa)
(s2kizzy baby) yao, yao
(aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa) chui
(aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa)
kondeboy, call me number one
[chorus]
sensema malunde
sensema, sensema (okay)
sensema malunde
sensema, sensema
sensema malunde
sensema, sensema (yeah)
sensema malunde
sensema, sensema
[verse 1 : rayvanny]
we’ dj, ongeza sauti, kudadeki
niko na shemeji yako
nyuma kama pick-up imеpigwa jeki
yani we’ dj, eh, ongеza sauti, kudadeki
a’fu tuzimie taa
tushike viuno vyenye sketi, eh
hakunaga mwaisa mshamba
hakunaga mwaisa mshamba
kazi kazi, macho kwa mikwanja
kazi kazi, macho kwa mikwanja, eh
bwana asifiwe (amen)
milele na milele (amen)
shetani akipita
teke, teke, teke, kule
bwana asifiwe (amen)
milele na milele (amen)
shetani akipita
teke, teke, teke, kule
ukipendwa, safi
ukiachwa, mbaya iyo
ukipata noti, safi
ukifilisika, mbaya iyo
ah, mikopo, safi
ila kulipa, mbaya iyo
eh! ku-cheat, safi
ukifumaniwa, mbaya iyo
[chorus]
sensema malunde
sensema, sensema (okay)
sensema malunde
sensema, sensema
sensema malunde
sensema, sensema (yao, yao)
sensema malunde
sensema, sensema
(kondeboy, call me number one)
sensema malunde
sensema, sensema (bomboclaat)
[verse 2 : harmonize]
oh, my gosh
mbona kama ndani hapatoshi
mitungi changanya mimoshi
ah, konde kadondoka na posh
hamjasema mpaka mseme, na mtasema
hamjasema mpaka mseme, na mtasema
bwana asifiwe (amen)
milele na milele (amen)
ex akipita
teke, teke, teke, kule
bwana asifiwe (amen)
milele na milele
mange kimambi akipita
teke, teke, teke, kule
vanamahako twende kwalidu kula
nikatamwa nguy opa chalidu chilaa
vanamahako twende kwalidu kula
nikatamwa nguy opa chalidu chilaa
pre-chorus
wazee wa kuchati, safi
ila ukiwa umelewa, mbaya iyo
kila bebe inapenda gongo! safi
ila likipakazwa mkongo! mbaya iyo
hakuna mmakonde mshamba
hakuna mmakonde mshamba
kazi kazi, macho kwa mikwanja
kazi kazi, macho kwa mikwanja
hakuna mmachinga mshamba
hakuna mmachinga mshamba
kazi kazi, macho kwa mikwanja
kazi kazi, macho kwa mikwanja (jeshi)
[chorus]
sensema malunde
sensema, sensema (okay)
sensema malunde
sensema, sensema
sensema malunde
sensema, sensema (yeah)
sensema malunde
sensema, sensema
[outro : rayvanny]
yii
ama-ma-mapiano
eh, mm, piano, eh
ama-ma-mapiano
eh, mm, piano, eh
ama-ma-mapiano
mm, eh, piano
ama-ma-mapiano
ayi, piano, eh
letras aleatórias
- letra de zé pedreiro - durval e davi
- letra de isto é coisa pra deus - roberto reis
- letra de pra quem eu vivo? - ludmila ferber
- letra de hino de sorriso - hinos de cidades
- letra de perdão, senhor - regina mota
- letra de cloudburst - manic street preachers
- letra de erro e perdão - mastruz com leite
- letra de que tem nome de querência - luiz marenco
- letra de aria of the will - moon hee jun
- letra de benção bossa nova - carlos lyra