letra de mzuri - rayvanny
uuh aih mama
jamani mbona we mzuri hvyo
rangi ya chungwa mama chocolate
viuno tanga manza bei
black beaut ulosimama
una nywele shombeshombe
zanzibar cheichei
umejaliwa nyama na huo mguu
haki mungu hakosei
mpka nikuone ndo nafanya
usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei
najionea wivuu kukupata wewe my boo
tabibuu dozi nipe tatatibuu
uuh aiih mama
jamani mbona we mzuri hvyo
uuh aiih mama
unavyoringa sasa sio shida zako hizo
uuh aiih mama
jamani mbona we mzuri hvyo
uuh aiih mama
nakusifia ringa vimba kichwa kapulizo
ukicheza (mzuri mzuri)
ukinuna (mzuri mzuri)
ukiringa (mzuri mzuri)
ata ukilia mzuri (ni mzuri tu)
unasura ya kunywea winne
(sura ya kunywea chai)
uko soft una shine
(camera haikukatai)
unawakomesha shwaini
levo zako hawakai
wataiweza wapi rangi yako ya mtume
(kwa roshen za mapapai)
mmh we mtoto we we mtoto we
wasije kuroga wenzako
wapunguzir dozi utawaua
sio kwa uzuri huo huo huo
we mtoto we we mtoto we
unawatesa wenzako
sio kwa hayo mapozi na kujishauwa
unadamu ya nguo huo huo huo
mama unaogopa nini mbona unaficha sura
mama unaogopa nini mbona unageuka nyuma
mama mbona mikono usoni ebu toa tukuone
uuh aiih mama
jamani mbona we mzuri hvyo
uuh aiih mama
unavyoringa sasa sio shida zako hizo
uuh aiih mama
jamani mbona we mzuri hvyo
uuh aiih mama
nakusifia ringa vimba kichwa kapulizo
ukicheza (mzuri mzuri)
ukinuna (mzuri mzuri)
ukiringa (mzuri mzuri)
ata ukilia mzuri (ni mzuri tu)
ule kimini juu nato toto
unafanya nishindwe kuto totoka
umetakata upo so sosoft
unawateza si kito toto
uchuchu aaaah iya iya iya
mara upo nyonyo upo titi
ata saraphina anajua hushikiki
aiyy serious nimempenda
nasema na simuachii
letras aleatórias
- letra de trap game john wayne - nativeminds
- letra de mixtape - vada
- letra de 掛念好友 (miss friends) - joey wong 王灝兒
- letra de stark - roland kaiser
- letra de desesperada - con belinda - marta sanchez
- letra de jamafrica - black kent
- letra de pathways - lightfinder
- letra de sorry freestyle - tyler, the creator
- letra de up and away - can't stop won't stop
- letra de didn't i see this movie? - brian yorkey and tom kitt