letra de marry me - rayvanny
i wanna marry you
because you are the first person
i wanna look at
when i wake up in the morning
and the only one i wanna kiss goodnight
hmm, when you love someone as much as i love you
getting married is the only thing
that is left to do
so will you hmm, will you marry me?
(zest on the beats ladies and gentlemen)
siku nyingine tulivu
macho zangu yatazama mboni zako
huku nikitafakari safari tuliopita
sina mwingine believe
kwenye moyo uko peke yako
jalali atujalie safari
tuweze fika
ni mengi umenivumilia najua
nimekuvumilia najua
tofauti zеtu, mapungufu yetu
yamefanya penzi kukoma
toka nakutumia barua
nakuzawadia maua
ukaribu wеtu, mapenzi yetu
yamegeuka chozi la fora
nakutunza kama mboni ya jicho langu
milele uwe ubavu w-ngu
nakupa hati ya moyo w-ngu
wewe (wewe)
ni wakutengeneza furaha yangu
unatembea na roho yangu
usijekuniacha peke yangu
wewe (wewe)
am starting new life (aaah)
you in my life (aaah)
and am ready to spend
the rest of my life with you
am starting new life (aaah)
you in my life (aaah)
and am ready to spend
the rest of my life with you
you marry me?
will you marry me?
will you marry me?
please baby say “yes”
will you marry me?
will you marry me?
will you marry me?
please baby say “yes”
nimetimiza ahadi
nimetimiza malengo
naiona nuru ya penzi letu
iking’aa
nipe watoto zawadi
ishara ya upendo
naiona nuru
tabasamu lako ndani ya shela
furaha yetu inawakera
nami mfungwa wako
kwenye jela ya mapenzi
am starting new life (aaah)
with you my wife(aaah)
and am ready to spend
the rest of my life with you
am starting new life (aaah)
with you my wife(aaah)
and am ready to spend
the rest of my life with you
will you marry me?
will you marry me?
will you marry me?
please baby say “yes”
will you marry me?
will you marry me?
will you marry me?
please baby say “yes”
letras aleatórias
- letra de honeymoon avenue (demo) - ariana grande
- letra de tug of war - juli strawbridge
- letra de love will save the day (7" mix) - whitney houston
- letra de we dont gotta go out - koi
- letra de heute - rote mütze raphi
- letra de hit the wall - allie x
- letra de right now - pierre king
- letra de mia, più mia, più mia - franco simone
- letra de gold stars - girl friday
- letra de geile zeit - nugat