letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mama - rayvanny

Loading...

oh garuko garuko garuke
oh garuke mwana w-nge
oh garuko garuko garuke
oh garuke mwana w-nge

ayee balindi niwe wanyu
balindi niwe wanyu
balindi niwe wanyu
na marefu umepita mwanangu

tangu umefunga safari yeah yeah
kurudi nyumbani uje uone hali yangu
nakosa chumvi sukari yeah yeah
kila siku nakonda kufikiria sembe
wapi nitapata mboga familia iende
baba yako mgonjwa hashiki hata jembe
kutoka ’91 sina kipya kitenge

kaf-kuzwa shuleni, mdogo wako jane
na mengine sisemi maiyoo
sikai sebuleni nikiona wageni
nakimbia madeni maiyoo

nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama

heshima yako mama
hukuwa pole na baba
mambo yatakuwa sawa
sipendi ukilalama

kazi zimenijaa
nahustle kupata chapaa
nitakuja na pesa nyumbani
sahau kuhusu dagaa

si unapendaga pеte na chain
nitaleta za gold
mwambie mdogo w-ngu janе
nitampeleka boarding

nitakujengea nyumba bondeni
uache kulipa kodi
nitakulipia yote madeni
usigongewe hodi

mwambie baba asijali
atapona tutaenda hospitali
asilie atakuwa shwari
siku yake ya birthday nitampa gari
machozi yanilenga
siku zinakwenda mama
sala zenu wapendwa
ndo zitanijenga sana

sijawatenga sikupigi kalenda mama
mungu akipenda yote nitatenda mama
naomba unisubiri nyumbani
nitarudi mama mama

nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama
nitarudi mama, mama

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...