letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i love you - rayvanny

Loading...

ilikuwa safari ndefu yenye mateso
machozi mizigo vikwazo
ila yote umenitua

naomba penzi letu lisife kesho
ukanipa pressure mawazo
chonde mama utaniua

na vile hujui kununa fundi wa kudeka
hata sijakutekenya unacheka
ooooh tambua ushaniteka
hata bila chakula nanenepa, my love

salama nikiwa na wewe
hata kama nina shida nasahau
sura kama malaika
na wala hauringi kwa dharau

lawama acha nipewe
nitoke duniani angalau
kuliko ukakanyanyasika
ila mpenzi usisahau

mi ooh oh, i, mi amor, i
my love, i, te amor, i
i love you i love you
baby i love you, i love you
i love you (mi nakupenda sana)
i love you (usiniache mama)
baby i love you (me oooh)
i love you

sura ya mama, umbo lawama
unayabia maguu
unanichanganya ukiinama
naangalia tattoo

nipakulie chakula mama sikomi
asubuhi mchana mpaka jioni
michezo unaijua mama msomi
pini kitovu kifua na sikioni

salama nikiwa na wewe
hata kama nina shida nasahau
sura kama malaika
na wala hauringi kwa dharau

lawama acha nipewe
nitoke duniani angalau
kuliko ukanyanyasika
ila mpenzi asahau

mi ooh oh, i, mi amor, i
my love, i, te amor, i
i love you i love you
baby i love you, i love you
i love you (mi nakupenda sana)
i love you (usiniache mama)
i love you

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...