
letra de falling in love - rayvanny
utamu wa mapenzi
sitamani uishe
sitamani ukatike
tusifike mwisho
mmh deka mapenzi
ukitaka nikulishe
na pete nikuvishe
mi nawe mpaka kifo
(motif di don)
nime amua, moyo umekuchagua
hakuna wakusumbua, mimi ni wako
mmh naomba dua, penzi lizidi chanua
na lisiache kukua, nibaki kwako
malaika wamefananisha
uzuri usio jificha
we w-ngu wa maisha
malaika wamefananisha
uzuri usio jificha
we w-ngu wa maisha
i’ve fall in love, fall in love
i’ve fall in love, fall in love
tabasamu lako (lakoo)
midomo macho (machoo)
upendo, huruma umezawadiwa
tamu tamu yako (yakoo)
sitoki kwako (kwakoo)
mapendo huduma umejaliwa
this is love i have been looking
forever mine
i have been searching, my baby
with you, ooh no no
this is the love i have been waiting
forever love i havе been searching
my baby, my baby
malaika, wamefananisha
uzuri usiojificha
we w-ngu wa maisha
malaika wamеfananisha
uzuri usiojificha
we w-ngu wa maisha
i’ve fall in love
fall in love
i’ve fall in love
fall in love
i’ve fall in love
letras aleatórias
- letra de for sun and rain - james mcvey
- letra de culture vulture - jesus jones
- letra de zanućmy jeszcze raz - deep x bobson
- letra de wait for me - changmo
- letra de nieżywi - poziomzero
- letra de you're a bitch - bebe rexha
- letra de trials - nøtinvain
- letra de symbiosis - musteeno
- letra de live it up (feat. calvin davey) - dalton john
- letra de empuja mi alegría - charly efe