letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nasheed - raptor da chronic

Loading...

intro

ewe nafsi ndani yangu
nihurumie mwenzangu
udhaifu mwili w-ngu
mbele ya mwenyewezi mungu
nauogopa ulimwengu yasinifike
machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia

outro

kanitangulia mamangu
mebaki na ndugu zangu
awalinde bwana mungu
itakapofika kw-ngu
nauogopa ulimwengu yasinifike
machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia

chrous
allah ya wadudi
mja wako nihurumie
wewe ndiye swammadi
mola w-ngu niridhie
imefika ahadi yako kwako nikurudie sakarati ya mauti dunia naikimbia

zanibana pumzi nashindwa kuvumilia
haikuwa nia yangu hapa kufikia
hukuuona wema w-ngu siku kunihisabia
yabaki machungu moyoni naumia
k-mbuke hukuwa mkweli fitina kunitilia
wanikatae wazee familia kuikimbia
sakarati ya mauti dunia naikimbia
kanitangulia mamangu
mebaki na ndugu zangu
awalinde bwana mungu
itakapofika kw-ngu
nauogopa ulimwengu yasinifike
machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia

yanitoka machozi kweli nikisimulia
inanisuta nafsi yangu kwa haya machache
mwili umekonda kwa mawazo
nauguza kidonda yeye ndiye chanzo
walimhusudu mamangu leo nawaambia
nawapa husia rafiki chagueni
wapo wenye husuda
wapo wazuri
wapo waamini tena watiifu
usingoje kuambiwa wewe jionee

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...