letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de uongo - rapcha

Loading...

[verse 1]

ndani ya dakika mbili nafika hapo usichoke no usichoke

ndani ya siku ka mbili nakupeleka shopping mall usikonde

ndani ya wiki ka mbili kuna hela naipata so, its okay

ndani ya miezi miwili ntakupeleka upaone home usikonde

yeah

usikonde nilikua busy tu kazi

nilisinzia mapema juzi afu pia simu haikuwa na charge

nikaamkia ofisini kazi ni nyingi mi ndo nikawa incharge

afu weekend ntakuwa shytown maana wazazi wananihitaji

[chorus]

uongo

ebana huo ni uongo
uoo uoo uongo

ebana huo ni uongo

uoo uoo

uoooo ooo uooo

uooo ooo uooo

[verse 2]

jua nna jali sana hisia zako so sometimes huwa i have to lie

nikisema kile ambacho we unahitaji kusikia unaeza die

ubaya kila ambavyo mi ntajibu we lazima u’cry

siunajua nakupenda, wallah haya makosa i don’t know why

plus nikikupa ukweli mtupu kesho tu utaondoka mkuku

utantia aibu nibaki mtupu, ntasimangwa kila group

uefa imeanza by the way leo usiku ntakua busy
afu kesho kutwa naenda marathon ntak-miss ile ki ki kichizi

[chorus]

uongo

ebana huo ni uongo

uoo uoo uongo

ebana huo ni uongo

uoo uoo

uoooo ooo uooo

uooo ooo uooo

[outro]

wanapenda ngenga sipendi ngee

sipendi sipendi ngebe

wanapenda ngenga sipendi ngee
sipendi sipendi ngebe

wanapenda ngenga sipendi ngee

sipendi sipendi ngebe

wanapenda ngenga sipendi ngee

sipendi sipendi ngebe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...