letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de unaua vibe remix - rapcha

Loading...

ametinga kinoma

mwache acheze ajimwage

(femi uno)

tinga kinoma

dj tena idondoshe

verse 1

nikapatana na mchizi

akanishow vile ameomoka

nikamshow basi alipe bill tukiondoka

kwanza sikuamini ile mtaa anapotoka

saa za mechi mi nacheki jo boxer imetoboka (wuuuh)

haina issue nikaona wacha nimpe vitu

nikavua mini ndio acheki ka see through
leo kiuno nitampea na mchezo wa kati tu

lakini nashindwa wapi mti kwenye huu msitu? (wuuuh)

ikiwa hawezi amsha nikaona wacha tulale

labda mida yake masaa yatadunga mshale

masaa yake naskia ninaguswa mgongoni

k-mbe dah sio mchizi ni bonge la kunguni

chorus: rapcha

aisee unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu
unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu

unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu
unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu

verse 2. rapcha

kaniona fresh akaja race

nikupe company!? mi nikasema yes

kaniomba hug tu mi nikaona sio kesi

harufu ya kwapa dada mbona sio fresh?

ukinigea chuna usiniletee noma

tunachat utamu una screenshot, we koma

najipenda kinoma usiniletee homa

yani tumepona ma-corona uniletee ngoma

mademu wa mjini kavu muulize brother babuu

tumia kinga ukishaona kachora ng’e tattoo

ukidata fasta na make up itakucosti

akinawa uso inabaki sura ya passpoti
chorus

aisee unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu
unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu

unaua vibe unaua
unaua vibe unanikata stimu
unaua vibe unaua (eh)
unaua vibe unanikata stimu

verse 3. king kaka

nishapata dem juzi namarinate kejani

kaniguarantee doshi inadoz ndani

pilka pilka ya kuteremsha toja

boy w-ngu kwa mlango anagonga

anyways ni friday nimelipa

na kuna dem flani nimealika

uchi hata cd nimevaa

niko ready kucum anadai….ah ah

juzi tu si nimepiga kura

washaingia ofisini ni pesa wanakula

washauza nchi sasa watakinda nini

ni sisi yaani nyinyi, wajinga nyinyi

outro

unaua, unanikata stimu
unaua, unanikata stimu
unaua, unanikata stimu
unaua, unanikata stimu

ametinga kinoma
mwache acheze ajimwage
tinga kinoma
dj tena idondoshe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...