letra de story nyingine - rapcha
[verse 1 : rapcha]
show bila middle men si-mpo
kila line dope man ka natoka mexico
usilete ugomvi maana nina p-sss-to
no namaanisha nina kristo
muda wa kukiwasha for your info
wakati watoto wanaenda diss- co
kila ngoma nnayotoa chuma
namaanisha bado niko mtaani nauza si-so
noma iko now real i can tell
hofu ya kupitwa hofu ya kushika tail
shida unaniskiza huku unarembua ndo utafail
now your whole story sounds like a stupid tale
nonsense
nikitoa facts nina evidence
respect yote nina earn kwa kushinda race
wakati babu tale yuko insta anani disrespect
street kuna wana wananiskiliza kama president and dead presidents
f-cking this game na sichange kinga
si mlitupeleka misri? now musa nishatimba
washa switch zote za tanesco with ma middle finger
soma chapa kwenye school bag za watoto iringa
bury walе n-ggaz wanaohate waf-kie chini chini
bila chorus wala sauti ya kuimba na bado zinaenda mjini
fvck agе smoking these rappers, ona niko teen
bitter truth f u all no vaseline
and people don’t believe you
mkila fact nyie mnaingiza personal issues
this is how i handle personal issues
kwa’sababu huko kuzoeana sio ishu
ukiwa 99 heshima ni ishu usilete izo ishu
shule nilichezea red
nywele zikakatwa parade
miezi kadhaa ahead ikulu nikazama na dread
bungeni nkaenda na dread
kwenye passport nna dread
kwasabu ubaya ni wa mtu wala hauko kwa dread
tale i’m sure ushaiskia interview
kwenye to the top volume 1. track number 2
unastahili punch kama ile upo mbali tu
muwe kwenye pampas siku niki drop volume 2
no time for beef
ka kuna beef hii ndoto itakukifu
all i see is mh ?? empty
only me na roho mtakatifu
fanya kuni picture niko getto navyoandika puffin leaves
msosi wa dada bebi huku bysa vinatoka vitu
hamna kitu nyinyi
so siskii, maana hamnambii kitu
mshajifanya kila kitu nyinyi wakati hamfanyi kitu
rappers wenu wanajua jini mimi nshaingia mjini mimi
siwezi kueka luku studio niwadiss maana nshawapiku
back to young lunya or whatever chiddi called you
best rap song 2021 you know the truth
kama kuna love ungekaa kimya ipite tu
niliona real face on your f-ckin stupid interviews
all my life i keep it 99 rasta
kama kuna love hauwezi tia like tweet inayonidiss rasta
nilidhani tuko peace
mpaka siku kwenye tweet inayonidiss nikakuta like ya dizasta
mtashikwa vichwa mpaka akili ikae kwenye kichwa
kujicommentisha asante boss umeinamisha kichwa
kisa tu amekuweka list yake ya wapiga picha
hawatakuheshimu usipojiheshimisha, cheki bichwa
glory ni kwa god for life, only
ye ndo anaetupigania i’m not worried
next time ukiulizwa who am i, we wajibu dry
tell them i’m another story
[hook : rapcha]
my enemies my enemies
i don’t give a d-mn ‘bout my enemies
don’t give a d-mn ‘bout my enemies
don’t give a d-mn ‘bout my enemies
my enemies my enemies
i don’t give a d-mn ‘bout my enemies (shy town)
don’t give a d-mn ‘bout my enemies (shy town)
don’t give a d-mn ‘bout my enemies (shy town)
tuko b’hitz
blvcq
b’hitz
letras aleatórias
- letra de m.ultic.olor - stone-k
- letra de rad's rap - ian jones-quartey
- letra de ghetto country - poxy club
- letra de aparece laura - alejandro dolina
- letra de real bitch problems - tt the artist
- letra de comes and goes - covey
- letra de victims - vaun king
- letra de innsbruck flavour - cle hiceness
- letra de welcome to killmington - triigga
- letra de love's desire - zior