letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mvinyo - rapcha

Loading...

mwendo kilometer zaidi ya buku kudadeki

kuzitafuta tu izi cent

so unapotuona apa town tunaflex man u gotta respect that

na juu hukai bila pain no no way

ushkaji kwenye bei no way

upuuzi staki entertain just go away
i pour wine kwenye glass then

chorus

i sip mi nagonga mvinyo

no stress mi nagonga mvinyo

minding my biz’

tafta kila shimo

get the bag, drip hard af gonga mvinyo

i sip mi nagonga mvinyo

no stress mi nagonga mvinyo

minding my biz’

tafta kila shimo

get the bag, drip hard af gonga mvinyo

verse 1

mwendo wa kilometer zaidi ya buku

kisanga nkiwa na buku

na getto limenifunza kuwa ku-quit maruf-ku

so nikakimbiza mkuku mkuku

sir god akaeka nguvu

halafu sina namba ya mganga kwenye simu nina wachuchu

way too blessed

ilibidi nisepe home mapema ntafte cash

getto kijeshi

tuna dream kubwa na kufika sio vyepesi

ila sio kesi

hatukuwa na hela ila kichwani tuko fresh
mwendo kijeshi

and we never gonna stop mpaka death

mpaka death

kuleteana ubishi kila siku

hustle zimefanya mpaka wanangu wengi wapigwe pingu

tunashukuru tuko hai still tuna uchungu

hope my dady anaenjoy divai ndani ya mbingu

chorus

i sip mi nagonga mvinyo

no stress mi nagonga mvinyo

minding my biz’

tafta kila shimo

get the bag, drip hard af gonga mvinyo

i sip mi nagonga mvinyo

no stress mi nagonga mvinyo

minding my biz’

tafta kila shimo

get the bag, drip hard af gonga mvinyo

no sleep

nakisanua tz, wananijua tz

no sleep

nakisanua tz, wananijua tz

mvivyo mvinyo
mvinyo mvinyo

mvinyo mvinyo mvinyo mvinyo mvinyo mvinyo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...