letra de nazitoka - randyyy
med thum, med thum bwana
med thum bwana, med thum bana
med thum!
za kivulai(huh)
reeezzy
a you don know
nina reasons kama ngapi(brrrrr)
heeeee!
nina reason chwani ya kusare hii muziki(chikicha)
kuna saa nashikwa jiji nikaekelewa me ni mungiki(hmmm)
nimelala stenje ishapata mpaka wiki
kama unanipigia ongeza gin niko tipsy
we unasemaje?
si hivo afande(afande)
kabla ifike monday si ukule za macho champe(champe)
njege ananitundura ati tukule wanj-pi
bado nimevunja natoka huku saa ngapi?
leo me n-z-toka(me n-z-toka)
me n-z-toka(me n-z-toka)
angalau pia leo me n-z-toka
me n-z-toka, me n-z-toka
leo me n-z-toka(me n-z-toka)
me n-z-toka(brrrrr)
angalau pia leo me n-z-toka
me n-z-toka me n-z-toka
angalau pia
(brrrrr)
hatuwezi poa bana, hatuwezi poa bana
piny liet,piny liet bana
piny liet
za kivulai
reeezzy
nishapata new catch ex nimedelete(huh)
akitaka stick anaeza rudi on repeat
mbona unashtuka kanairo ni ya mabeast
msupa apotee monday arudi friday kama gift(gift)
sponyo haezi vunja anadeliver hadi kwa doorstep(doorstep)
alipotea sana kama sabuni ya protex(protex)
ndoa ishavunjika kama kifuli ya solex(solex)
w-ng achiel w-ng ariyo w-ng adek(woohooo)
zimewaka sana zimefika hadi kinde(kinde)
bank otuch na hii ni pesa ya nu school
msupa hajanyoa amekuja na bungu
akimwaga ka mafuta ya turu
unask-ma sana kama nganya ya buru(eiiy yawa)
na huku ghetto joh ni sembe na nundu
kurudi tu kupona ndio siwezi dhubutu uamke fiti we kwa mola shukuru
morio aligenya akifanya challenge za youtube
serikali konya kae tafasali
msupa anaenda rally na hana hadi gari(eiyy yawa)
na wababa wanamkula mashinani
wanakata tu konyagi na ngoma za iyanii leo me n-z-toka
angalau pia leo me n-z-toka
angalau pia leo me n-z-toka me n-z-toka
angalau pia leo me n-z-toka me n-z-toka me n-z-toka
angalau pia leo me n-z-toka me n-z-toka(brrrr)
angalau pia leo me n-z-toka me n-z-toka me n-z-toka
angalau pia leo me n-z-toka
letras aleatórias
- letra de everybody but myself - the fall
- letra de hagamos revolución - siete días de lluvia feat. gastón gómez
- letra de after you get rid of me - katie webster
- letra de silent night - the temptations
- letra de yung and dum - 616mc$ay
- letra de i thought it would sound better than it did... - lil john cena
- letra de little persuader - warpipes
- letra de dead2me - txcka
- letra de halachti lishtot - הלכתי לשתות - carakukly - כרקוקלי
- letra de sister mary - stefan andersson