letra de usihofie wachaga - rama dee
[intro]
sioni
hatari mbele ya penzi letu
(ooh, ooh)
(and the-)
[verse 1]
pendo letu
lifike mbali
ooh, baby
tulinde love
(kupendana)
waepuke mashosti wote
wasio na maana
[verse 2]
hapa duniani
wabaya wamezidi nguvu wazuri, mpenzi
(mpenzi)
hata manabii
walipigwa mawe usoni
moyoni haikuathiri
(penzi)
[chorus]
usihofie colour, ‘gizani, mw-nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga,’wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
[pre-chorus]
hatari, mola atuepue
baraka, mola atushushie
(na-na-na-na, na-na-na-na)
maudhi yasitupitie
furaha kubwa ituingie
(na-na-na-na, na-na-na-na)
[bridge]
mwana mosi, eh
mwana mosi
mwana mosi, eh
mwana mosi
[verse 3]
nisimulie
hadithi nzuri zenye muendelezo
za mahaba
nifarijike
nik-mbatie
ukihisi msongo wa mawazo
nitakushusha presha iwe normal
[verse 4]
kwani, kuelewana
kushikamana
kuridhiana
ndio nguzo imara
tuеpushe utata
nasi tufike tommorow
hivyo ndivyo love
usionе watu wakiishi kwa furaha
wamefungua kurasa
(baby)
[chorus]
usihofie colour, ‘gizani, mw-nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga, ‘wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
[pre-chorus]
hatari, mola atuepue
baraka, mola atushushie
na-na-na-na (pendo letu)
na-na-na-na (oh, love)
maudhi yasitupitie (mimi nawe)
furaha kubwa ituingie
na-na-na-na (?)
na-na-na-na
(baraka na-)
hatari, mola atuepue
(penzi letu)
baraka, mola atushushie
(heri yetu, hey…)
na-na-na-na
na-na-na-na
(na baraka)
maudhi yasitupitie
(kwenye nuru yetu)
furaha kubwa ituingie
(heri yetu, baby)
na-na-na-na
(ooh)
na-na-na-na
(nah…)
[outro]
usihofie colour, ‘gizani, mw-nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga, wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
(instrumentals)
letras aleatórias
- letra de villain - kossie
- letra de c'est la vie - ares
- letra de shiesty 9 - jay dinero bandz
- letra de shattered - bento (pop)
- letra de island - mia (미아) (kor)
- letra de god pige - danser med piger
- letra de oameni suntem - faust (rou)
- letra de less is more - konshens
- letra de скрываюсь(hiding) - thisislilandie
- letra de dream - c.kaleb