letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mazoea - rama dee

Loading...

[verse 1: rama dee]
mazoea ndio nliyo nayo, ‘toka kwako
matumizi yamezidi uwezo, ‘nilionao
washauri sio wa duka wala genge
wao ni [lombo]
mazoea yanafanya nibonye
niwe mdogo
zile sehemu we used to go
leo na dambwa yaani
upweke nilionao, naingia mtegoni
na kutumika kweli

[chorus: rama dee & yuda]
hayazoeleki haya maisha
kuishi pekee yangu
hayakwepeki haya maisha
kama ushaharibu
(aiba, aiba)
mazoea
yananipa tabu (ooh)
ningeweza (ngeweza)
ningefanya yangu (ooh)
mazoea (mazoea)
yananipa tabu (ooh)
ningeweza (ngeweza,weka!)
[verse 2: yuda & rama dee]
mama, mapenzi pochi
mabuzi wengi mjini
mapenzi pochi
sikukuweka moyoni
mapenzi pochi
(mazoe-)
mabuzi wengi mjini
mapenzi pochi
sikukuweka moyoni
weka!
(mazoe-)

[verse 3: yuda]
ah, mimi mtoto wa uswazi
mboga k-mi sikuwezi
wewe unabana pua, zangu ngumu un-z-jua
jaribu kunisahau
mapenzi yalikuwa kale
(ooh)

[bridge]
zile sehemu we used to go
(aiba, aiba)
zile sehemu we used to go
(aiba, aiba)
[chorus: rama dee & yuda]
hayazoeleki haya maisha
(mazoea hayo)
hayakwepeki haya maisha
kama ushaharibu
(aiba)
mazoea
(mazoea hayo)
yananipa tabu (ooh)
ningeweza (ngeweza)
(mazoea hayo)
ningefanya yangu (ooh)
mazoea, (aiba)
(mazoea hayo)
yananipa tabu (ooh)
ningeweza (ngeweza)
ndio najuta tena!
ningefanya yangu
mama…

eh, sikiliza gaidi hapa
ni sauti ya young-
(mazoe-)
‘young yuda
mtoto wa uswazi music flavour
we leader bwoy
eh, nakubali mwamba mdogo kicheko
weka mwamba…
(mazoe-)
we mama, weka tandale
weka na yombo
weka na buza
weka temeke, mama
weka mbagala
weka ubungo
weka masaki
weka kunduchi, tena
weka tegeta
(mazoe-)
weka mwamba…
we mama naruka magoma
(mazoe-)
tucheze magoma leo
naruka magoma
tucheze magoma tena
naruka magoma
tucheze magoma leo
naruka magoma
tucheze magoma leo
naruka magoma
tucheze magoma
naruka magoma
tucheze

mama washa, washa uwake tena
washa, washa uwake tena
washa, washa uwake tena
washa, washa
mama
naruka magoma
naruka magoma tena…

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...