letra de kibri - rama dee
(instrumentals)
[chorus]
kibri, watu kibri
kibri, watu kibri
dunia hii
watu kibri
watu kibri
[verse 1]
moyo wa uchungu
utapata kisirani
na safari bila mungu
utaishia njiani
na wenye lengo la uchawi
watazidishiwa na mashaka
[pre-chorus]
na ya dunia
yaache kwa dunia hii
elewa kila kitu na mipaka, yeah
na ya dunia hii
yaache kwa dunia hii
hauwezi kuishi, kuishi [na binafia]
jifunze, moyo wa busara
dunia hii, aliyo umbiwa ni wewe, hey
[chorus]
kibri, watu kibri
kibri, watu kibri
dunia hii
watu kibri
watu kibri
[verse 2]
wajeuri wa maneno, oh
wanakesha kama popo
vichwa vyao ni mizigo, oh
hawana mipaka, hawajui wanachotaka
[pre-chorus]
na ya dunia
yaache kwa dunia hii
elewa kila kitu na mipaka, yeah
na ya dunia hii
yaache kwa dunia hii
hauwezi kuishi, kuishi [na binafia]
jifunze, moyo wa busara
dunia hii, aliyo umbiwa ni wewe, hey
[chorus]
kibri, watu kibri
kibri, watu kibri
dunia hii
watu kibri
watu kibri
(instrumentals)
letras aleatórias
- letra de hladna - kresoje
- letra de sticky - the maine
- letra de no cheap flows - jbd
- letra de dolly - hix
- letra de dvd - karol g
- letra de euphoria - themainou
- letra de center shocks - makko & toobrokeforfiji
- letra de let go - 7evin7ins & 916frosty
- letra de 夢見るつばさ (yumemiru tsubasa) - scandal (jpn)
- letra de soaking - leanys