letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de njoo - raj (kenya)

Loading...

njoo lyrics

ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo keti
ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby  njoo keti
njoo

it’s okay baby usinitoke
tubonge  leo tusifoke
niombee me niache pombe
penzi liwe ni la bonge/
it’s okay baby usinitoke
tubonge leo tusifoke
niombee me niache pombe
penzi liwe ni la bonge/

ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo keti

ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo

you feelin the boy and you know it
but you really try to ignore it
sometimes i can be so annoyin
say i love you but i never show it
ni chungu, penzi ni iliki
nguvu, ni kama za hirizi
kidogo, ni kama siridhiki
uwongo, ni kama unafiki
ikabidi ukanichuja
ukasema duu sitangoja
ati kuna boys mia moja
wenye wana tu nia moja
ya kupenda, kutafuta jiko
ukaenda, ukabeba virago
moyoni uliliacha pengo
sa nali lilia pendo/

ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo keti
ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo

it’s okay baby usinitoke
tubonge leo tusifoke
niombee me niache pombe
penzi liwe ni la bonge/
it’s okay baby usinitoke
tubonge leo tusifoke
niombee me niache pombe
penzi liwe ni la bonge

ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo keti

ukinitaka mimi utani loketi
loketi
mlango uko wazi baby njoo keti
njoo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...