letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de chali - raj (kenya)

Loading...

chali lyrics

intro

banana
banana
banana boy

verse 1
raj

kuna machupa
kuna wasuper
nita wanyuka
halellujah
zimeraruka
zitalipuka
nataka dada
mwenye mathutha

pombe sinywi tena
na hisi siko vema
leo ninaona
n’tamteka msichana
yule amejibeba
kwa counter ameni lenga
yule amejitenga
kwa corner ameni bamba

nawaza laku sema
naona nita tenda
naanza tu kuenda
nikifika naanza me ku sema

hook
raj

vipi honey
unaeza densi nami
vipi honey
unaeza cheza nami

bochaberi

easy chali
usini guse chali
easy chali
nina w-ngu chali

raj

vipi honey
unaeza densi nami
vipi honey
unaeza cheza nami

bochaberi

easy chali
usini guse chali
easy chali
nina w-ngu chali

verse 2
bochaberi

hali yako si shwari
umelewa chakari
siji oni sukari
ila nina w-ngu rijali
fungua macho jamani
ulilewa zamani
ebu enda nyumbani
anza safari

pombe hunywi tena
naona hauko vema
leo hebu koma
kuwateka wasichana
yule amejibeba
kwa counter ameku lenga
me nimeji tenga
kwa corner nina bwana

huna la kusema
tafadhali nenda
sina la kusema
tafadhali nenda

hook

raj

vipi honey
unaeza densi nami
vipi honey
unaeza cheza nami

bochaberi

easy chali
usini guse chali
easy chali
nina w-ngu chali

raj

vipi honey
unaeza densi nami
vipi honey
unaeza cheza nami

bochaberi

easy chali
usini guse chali
easy chali
nina w-ngu chali

#end

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...