letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dust - quafff

Loading...

yeh! yeh!
quafff waddup

hii mapenzi ni asali, lakini tena ni sumu ni tamu ni chungu
i knew you was gonna hurt me someday
but i did it anyway i didn’t care ’bout regrets

k-mbe hii ndio inaitwa kuonyeshwa dust
the way i’m feeling they should cast me for mad max
wadau niwaambie nimekula dust
venye wamenifanya sijui kama ntawatrust again

who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
lakini ako wapi selekta rewind it for me

who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
ako wapi selekta to rewind it for me

when you’re in love
it’s so easy to gеt fooled, with alotta relapse
whеn you’re in love
it’s so easy to get stuck in between all the fantasies and real life
i liked her waist in particular
she liked how bit like dracula
omoiseke nig’anchetu n’omomura
she took it for granted and then left me stranded

lil mbiru fahamisha wazee hakuna msichana wa kuleta nyumbani
ambia dadetu awinja namwekea kisiagi na hizi dooh za mahari

k-mbe hii ndio inaitwa kuonyeshwa dust
the way i’m feeling they should cast me for mad max
wadau niwaambie nimekula dust
venye wamenifanya sijui kama ntawatrust again

who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
lakini ako wapi selekta rewind it for me

who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
ako wapi selekta to rewind it for me

lil mbiru fahamisha wazee hakuna msichana wa kuleta nyumbani
ambia dadetu awinja namwekea kisiagi na hizi dooh za mahari
i liked her waist in particular
she liked how bit like dracula
omoiseke nig’anchetu n’omomura
she took it for granted and then left me stranded

i liked her waist in particular
she liked how bit like dracula
omoiseke nig’anchetu n’omomura
she took it for granted and then left me stranded

k-mbe hii ndio inaitwa kuonyeshwa dust
the way i’m feeling they should cast me for mad max
wadau niwaambie nimekula dust
venye wamenifanya sijui kama ntawatrust again

who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
lakini ako wapi selekta rewind it for me

who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
ako wapi selekta to rewind it for me

k-mbe hii ndio inaitwa kuonyeshwa dust
the way i’m feeling they should cast me for mad max
wadau niwaambie nimekula dust
venye wamenifanya sijui kama ntawatrust again
who’s da fake? who’s da real one?
sjui nani malaika ni nani delilah
i wish i could rewind
lakini ako wapi selekta rewind it for me

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...