letra de serial killa - puvalo
[intro]
dead man walking
ginica bruh
puvalo
[verse 1]
sk!ll kwenye beat, heartrate inarise
ninatoa war cries, fans nikinice
cool kama ice, check mate nikitupa dice
yaani niko tries kaa injera na the other guys
yaani partriot
radio aerial hazishiki mimi so
chini ya maji ninashika doo
hardcore cannibal, massacre
bibilical proportions of damage, carnage
[chorus]
serial k!lla, me ni money miller
booth me ni iller, fly to manilla
pata manzi white na mtamu kaa vanilla
nimepata mmoja, lakini nyinyi bila
nimetoka far, samson na the pillar
nimevunja mila
walipata majobo lakini mimi bila
lakini me ni realer, lyrical gorilla
best friend yangu feel her
[verse 2]
mind kaa ya jigga, a hard working n-gga
ginica ni bigger, fame yalipuka
one second kwenye tikker, call me schwarzenegger
kama wee ni b-tch kwenye scope i will pick you
rhyme natapika kwasababu nilipika
mingi mpaka nare zao kazimika
sasa nasikika, sasa w-n-lipa
sasa future bright , ninaona malaika
studio nimechill, niko breeze ya jamaica
coolio anligo, pac still undertaker
mimi namulika, talenta kama weezy na
lazy, crazy, bizzy na wiz na kathalika
[bridge]
n-ggas niliunda wakasema me mekanika
doctor kwenye cypher, doo zikimwagika
midnight walker, bodies kwa mapipa
kisha grim reaper anahonga gate keeper
dues nililipa, rates sasa ziko cheaper
kama rooms kwenye bar, as in mimi narefer
to my n-ggas wale wote wanahustle toka far
as in homies kama mimi, kaa ni title na-prefer
[chorus]
serial k!lla, me ni money miller
booth me ni iller, fly to manilla
pata manzi white na mtamu kaa vanilla
nimepata mmoja, lakini nyinyi bila
nimetoka far, samson na the pillar
nimevunja mila
walipata majobo lakini mimi bila
lakini me ni realer, lyrical gorilla
best friend yangu feel her
serial k!lla, me ni money miller
booth me ni iller, fly to manilla
pata manzi white na mtamu kaa vanilla
nimepata mmoja, lakini nyinyi bila
nimetoka far, samson na the pillar
nimevunja mila
walipata majobo lakini mimi bila
lakini me ni realer, lyrical gorilla
best friend yangu feel her
letras aleatórias
- letra de fartbox artbots - hipgnostic
- letra de high with somebody - sandro cavazza
- letra de bimba mia - ceri
- letra de incompleto - zero84
- letra de chorou chorou - maysa
- letra de cute machine - carpoolparty
- letra de в унитаз (into the toilet) - czar
- letra de too nice(freestyle) - kwesi black
- letra de rainbow (davis redfield extended mix) - gold1 & trina
- letra de pour ça - usky