letra de nisikuangushe (feat. princepark) - princekrew
i got a story (story)
nak-mbuka kina rufftone,
alitupelekanga mwikhulu
nak-mbuka kina ringtone,
gospel ilibamba
maisha finje finje mr.t alikataa
mr. googs told dem straight never entertained
angel chibalonza akasema jubilee
daddy owen warned dem ati yote ni vanity
gospel fathers walipendwa na fundi wa mbao
m.o.g wakadai “hear my calls”
emachichi, kaberere, kina esther wahome
niwe kama wao
nisikuangushe (eeeh)
ukiniinua, nisikuangushe (eeeh)
eeeh baba (aaah)
nisikuangushe (eeeh)
ukinibariki nisikuangushe (eeeh)
nisaidie baba
skiza, injili ikazidi kuwa poa tu
tukazidi kuwa wengi tu
lakini nikagundua sio wote
waliitwa walichaguliwa
mashow za gospel nyingi tulichapa
kila station ilicheza ngoma zetu
kwa kweli mziki wetu ulitoka kwa neno
kila mwaka tukakuwa napewa tuzo
tena, ikaja kubadilika
hatufanyi tena kwa neno bali kwa mashindano
wengi wetu walijawa na majigambo
ikabidi na wengine tu, waende ngambo
majivuno, kwa manyimbo
tukiandika hatutaji jina kristo
lakini mimi siwezi jizuiaaaaa
kusema wake mema
but, si ati mimi ni mzuri sana (aaah)
hata me nina weakness labda mbaya sana (aaah)
wengi waliachana na injili ya baba (aaah)
ila me naomba baba ukiniinua
nisikuangushe (eeeh)
nisaidie nisikuangushe (eeeh)
eeh baba (aaah)
nisikuangushe (eeeh)
ukinibariki, nisikuangushe (eeeh)
nisaidie baba
sasa wengi wametoka,
labda ata bado kuna wale watatoka
w-lly paul alitoka akaacha kevin
lakini injili sai haina bahati
wanamziki wa injili hawana wisdom
ni matusi wamejaza comment section
tunaifanya juu ya likes, hakuna vision
ikifika ni kwa god hakuna submission
kim danny danny
everlyn mutua
bruz newton, wapi bazokizo
mungu alikutuma kwa wa maasai usambaze neno lake
ljay uko wapi sahi?
vikundi mingi nazo pia zikavunjika
naomba neema kwa wote waliotoka
maisha ya injili si rahisi ina machungu mengi
ila nikuomba na kuvumilia
but, si ati mimi ni mzuri sana (aaah)
ata me nina weakness labda mbaya sana (aaah)
wengi waliachana na injili ya baba (aaah)
ila me naomba baba ukiniinua
nisikuangushe (eeeh)
nisaidie nisikuangushe (eeeh)
eeh baba (aaah)
nisikuangushe (eeeh)
ukinibariki, nisikuangushe (eeeh)
nisaidie baba
letras aleatórias
- letra de good girl - 14u (원포유)
- letra de onder - mlamli
- letra de time out - hbz & kremik
- letra de kissimmee - pinkpinkpink
- letra de divine induction - robust
- letra de tribute to jamie - jmcee
- letra de скит (skit) - принцип (princip)
- letra de not sorry - i.m (아이엠)
- letra de emergency_isoswear - [facy]
- letra de canto al corazón (acústica) - tabacos