
letra de roho inauma - prince d
ah, heeh
atchu! tchu tchu tchu
yea, it′s another prince d prod
prince d
oh oh oh oh oh, mama
roho yangu ina uma
sijuwi nita fanya jje
roho yangu ina uma, mamma
matatizo yangu yame zidi imani yangu
nimu lilie nani?
mbona hakuna
uchungu mbona ni kwa wingi, sana
roho yangu, eh
ona ina uma sana
zaidi hata ya imani ninayo, oh
mbona ni shida sana
dunia shida, oh shida sana
oh oh, oh oh shida sana
eh eh
nime ambiliwa ni vumilie
ila matatizo yangu
yazidi imani yangu
eh eh
nime ambiliwa ni vumilie
ila tatizo zangu
zazidi imani yangu
niende wapi mimi mbona hakuna
roho yangu ina uma, ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inayo uma, ah ah
roho yangu ina uma, ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inayo uma, ah
roho yangu ina uma, ah ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inapo uma
roho yangu ina uma, oh oh
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
ni mungu tu hakuna mwengine, eh
nalia baba, eh
tatizo zangu naleta kwako
nalia baba, eh
shida zangu naleta kwako, baba eheh
letras aleatórias
- letra de build me up buttercup - lara anderson
- letra de (ivelovedyousinceimetyou) - forbiddenstar
- letra de petit poucet - zen bamboo
- letra de mad og retfærdighed - tv·2
- letra de respect my nocco - lil bebbz
- letra de the smoke - smb
- letra de no bright side - cardiacs
- letra de safdkajvbnhjkdb - p4rkr
- letra de wild things - gaia gozzi
- letra de locked in the room - nukeview