letra de lala toto lala - polycarp otieno
[verse 1]
wamemchukua
kutoka mikono yangu
serikali yaungana
watu wasio watu
wameninyanganya mtoto
toka mikono yangu
serikali ya wezi
na watu wasio utu
[chorus]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi akasema
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
lala, mtoto lala
[verse 2]
rest easy, knowing
we won’t forget
we chant your name
rest easy
we will fight again
you are not in vain
peace to the fallen
freedom is calling
lift our voices
tell, our stories
[chorus]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi amesema (akasema)
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
lala, mtoto lala (uuuu)
haki inakuja, lala
lala, mtoto lala
[outro]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi amesema
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
haki inakuja, lala
(mtoto lala, mtoto lala)
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
letras aleatórias
- letra de those of the unholy - abyssus
- letra de shades of gray - artwork (band)
- letra de acid drip - dj dax
- letra de intro - delik
- letra de 3 ore d'amore - fred bongusto
- letra de it ain't over - ladell parks
- letra de big dreams - rooms by the sea
- letra de frum da back - young thug
- letra de chori ne vamwe - oliver mtukudzi
- letra de my first kiss - minah (girl's day)