letra de mama - petronilla ayuma
intro
the spirit of a mother never dies
verse 1
uliyalea maisha yangu
upendo wako kw-ngu ulikuwa mkuu
milele daima ulikuwa kw-ngu
hata kama uliondoka haraka
mkono wako ulinifuta machozi
mdomo wako uliniimbia wimbo
ulinituliza kifuani pako
nikalala mikononi mwako ooh mamaaa
chorus
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
verse 2
mbingu zilipo nigeukia kijivu
wakati mwingi nilikuwa taabani
ulikuwapo daima kunifariji mimi mama aaah
ulinifunza like kitu nikajua
nami nikaweka salama ndani yangu
upendo wako kw-ngu ulikuwa kama miyale ya nyota aah
kuniangazia dunia yangu vikali mimi mama aah
asante malkia w-ngu dunia yote
chorus
mamaa mamaa
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
bridge
mamaaa mamaaa
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe…
kwenye vikundi vya wa mama
sijaona wakulinganishwa..
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye mausia bora
mwenye uelekezi bora..
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye ushawishi bora
mwenye mwenye uongozi bora
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe…
chorus
mamaa mamaa
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w-ngu dunia yote hakuna kama wewe
letras aleatórias
- letra de to the top - slick one & kollegah
- letra de allure (i am) - the aviator's club
- letra de gossip - saybien
- letra de blijf strijden - ismo
- letra de yoko ono - danny swain
- letra de everything you wanted (be happy) - dom kennedy
- letra de you're all the same - fist thrower
- letra de annihilation (crucifix cover) - sepultura
- letra de pain of love - dweezil zappa
- letra de the american dream - damoyee janai