letra de champion - p mawenge
[intro]
yeeeah! its 255
tanzaniaaaa
we the best country man
and we the champion (ona tuko vine on vibe on)
maweeeenge
[verse1 1]
champion like ma president, mama samia
am a verified resident, mtanzania
so if ya lookin for the evidence, mkono wa kulia
nina ndui so ina make sense, nkijivunia
tuna jeshi kakamavu linatunza amani
wavamizi wakivamia wanadundwa vitani
mungu anatubless tumeshamkimbiza shetani
now we the best of the best wakupinga ni nani
twende kazi taifa stars, tukaze na soka
tuna mwakinyo twaha kiduku dulla mbabe maboxer
kwenye mziki tuko fresh, chibu kanyaga twende
wapi kiba konde boy kwеnye rap p mawenge
so mama samia….champion
majaliwa…champion
mpango naе…..champion
mpaka mzee mabeyo…..champion
baraza la ma……champion
bunge la ma…..champion
na wooote woote…so lets gooooo!!!
[chorus]
sisi ndo machampion champion champion
ona tuko vibe on vibe on vibe on
nguvu ka za samson samson samson
habari zetu zishafika everywhere
sisi ndo machampion champion champion
ona tuko vibe on vibe on vibe on
nguvu ka za samson samson samson
habari zetu zishafika everywhere
[verse 2]
umekuwa huru, (uuunh) tangu stini na moja
na nne tukaungana ili kushika mpini pamoja
tumewapoteza wengi ila tunajiamini masoja
wajeda piga hewani mizinga ishirini na moja
na nguzo yetu kubwa uhuru na umoja tunatambua
wasopenda kuona tuko pamoja tunajua
wao shari tu hawajengagi hoja wanapangua
wagmfurahi kuona nchi inadoda inasuasua
shukrani ziwaendee walofanya tujivunie
kukicha tunamwomba maulana awajalie
mliotutoka roho zenu pema zikatulie
huko huko mlipo dua zetunjema ziwafikie
so nyerere alikuwa….champion
mzee karume……champion
bibi titi…….champion
hadi mzee mkapa….champion
magu alikuwa…..champion
kingunge alikuwa….champion
na woooote wooote so let’s goooo!!
[chorus]
sisi ndo machampion champion champion
ona tuko vibe on vibe on vibe on
nguvu ka za samson samson samson
habari zetu zishafika everywhere
sisi ndo machampion champion champion
ona tuko vibe on vibe on vibe on
nguvu ka za samson samson samson
habari zetu zishafika everywhere
mungu ibariki tanzania, mungu ibariki africa…
letras aleatórias
- letra de soy un accidente - el último de la fila
- letra de are you loosing my mind - re:boot
- letra de tegenstromen - biek & len
- letra de memori berkasih (feat. gerry mahesa) - zainatul hayat
- letra de tension - wivvamilie
- letra de all or none - days on 85
- letra de do me right - valeria
- letra de watch your throat - snak the ripper
- letra de wait till the summer comes along - the kinks
- letra de 00:00 - dfysaga