letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de utajiju - p-funk majani

Loading...

[intro]
kutoyapenda maendeleo ya wenzio
ni sawa na kukosa nidhamu kwa wenzio
ukijifanya unajua nakupisha
wakati ukoo wote wanatega masikio
(gachi b)
kutoyapenda maendeleo ya wenzio
ni sawa na kukosa nidhamu kwa wenzio
ukijifanya unajua nakupisha
wakati ukoo wote wanatega masikio

[verse 1]
nataka nikupe kitu ambacho hujawahi pewaga, ujue
tena bonge la kitu, wenzako wanakosaga, ujue
chini kabisaya moyo, unif-kue, f-kue, eh, eh
ini mkali nyongo, uchizi kazuzue
ulisema ‘moko, usijali nitakupa two time
taratibu ukichoka twende half-time
ligi hainaga matuta
[?show to show]

[hook]
touching your body like piano
mpira pasi nakwenda na mpira, go
na hata niki-dunk ka kinyago
mpira pasi nakwenda na mpira, go
[pre-chorus]
utajiju
kama this love gonna make you feel suprise
utajiju
ukitoka shavu kwa kupata kitu hujawahi
utajiju
utajiju
yeah, yeah, yeah
utajiju
utajiju
yеah, yeah, yeah

[chorus]
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju
yeah, yеah, yeah, yeah, yeah, yeah

[verse 2]
una utege
(jicho ka lazimika, wanishawishi ni kulenge)
sura kama mdoli
(yaani kabla sijakushika tayari nnshapandisha wenge)
lafudhi tamu sana
baby come chop my banana, na-na-na
hili penzi tamu, bwana
shingapi sema nikupe bugana, na
h-llo my dear mwenzako na roho ndogo
achana mapenzi ya kando
wasikubambie, sitaki hata kidogo
maana mi mwenzako bado
[pre-chorus]
utajiju
kama this love gonna make you feel suprise
utajiju
ukitoka shavu kwa kupata kitu hujawahi
utajiju
utajiju
yeah, yeah, yeah
utajiju
utajiju
yeah, yeah, yeah

[outro]
utajiju
utajiju, (yeah, yeah
utajiju, (baby)
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju
utajiju

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...