letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tunashine - p-funk majani

Loading...

[intro]
yeah
(kimya, kimya)
you know what (yeah, yeah)
low key

[chorus]
uh, hatuna kitu
tunataka ku-shine
so, inabidi tu ‘tu waste no time
pole pole ’elevate, tuna grind
mwendo juu and we never go down
hatuna kitu
tunataka ku-shine
so, inabidi tu ‘tu waste no time
pole pole ‘elevate, tuna grind
mwendo juu and we never go down
(kimya, kimya)

[verse 1: rapcha &]
dream life iko kwenye [?]
issh!
life lina panda bei, sio cheap
wakati tuna rise by lifting others
mabosi wana rise by milking others
yeah, all the way to the top ’and no stopping
kufika hapa usiulizе tumetoka wapi
maisha magumu yametukuza ‘no cappin
na hivyo ndivyo ambavyo tumejifunza how to rapping
imani kwеnye kazi tu
money, money careful
jasho likishuka chini, tunakwenda top juu
jasho livuje nini, pesa iko perfume
fake wote tunawafinyia chini chapu
yeah, nisharuka ukuta nyumbani, kurudi usiku
hadi nikaf-kuzwa ila wala sikuona ishu
nikazitafuta cause hata sikuwa na kitu
saa hivi nikishtuka mjengoni, najionea peace tu
[chorus]
hatuna kitu
tunataka ku-shine
so, inabidi tu ‘tu waste no time
pole pole ‘elevate, tuna grind
mwendo juu and we never go down
hatuna kitu
tunataka ku-shine
so, inabidi tu ‘tu waste no time
pole pole ‘elevate, tuna grind
mwendo juu and we never go down
(kimya, kimya)

[hook]
tunataka chetu fasta
(kimya, kimya)
siku nzima si ma hustler, ah
tunataka chetu fasta
(kimya, kimya)
siku nzima si ma hustler

[verse 2: conboi cannabino]
yeah
mtaani nime chill kwenye corner
(kimya, kimya)
mishe non-stop ukiniona
j’s on my feet when i’m steppin
ain’t tryna be good ’n-gga, i’m tryna be [greatin’]
[verse 3]
nikikamata cash ukiniona
niko nime chill na ma-stoner
and everyday i’m tryna get more
mpaka tukiumana street (yeah)
wani treat ka mo

[verse 4]
same old hustle, just a different ways
(?) niko (?)
mshkaji i don’t play
wapo wanao hate, i don’t care what you say to me
macho kwenye cheddar, ’moking like a days in a week, uh

[verse 5]
low key ‘na siogopi
nishajikoki, sidondoki
nasichoki, ninafosi nijaze pochi na minoti
sitaki gossip, hapa noti
(kimya, kimya)

[chorus]
hatuna kitu
tunataka ku-shine
so, inabidi tu ‘tu waste no time
pole pole ‘elevate, tuna grind
mwendo juu and we never go down
hatuna kitu
tunataka ku-shine
so, inabidi tu ‘tu waste no time
pole pole ‘elevate, tuna grind
mwendo juu and we never go down
(kimya, kimya)
[hook]
tunataka chetu fasta
(kimya, kimya)
siku nzima si ma hustler, ah
tunataka chetu fasta
(kimya, kimya)
siku nzima si ma hustler
oh, oh, oh…
(kimya, kimya)
oh, oh, oh…
oh, oh, oh…
(kimya, kimya)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...